Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Nadhani hii kitu inatesa sana kisaikolojia na pia kumeza dawa kila siku is no joke ingawa nadhani overtime mtu unazoea sababu afya yako depends on those.....

Pili siku hizi kama una mzigo huhitaji kwenda clinic ya watu wengi ya kiserikali, hospitali kibao za private zina hii huduma hivyo siri inabaki yako na watoa huduma, hata ukutane na mtu hospitali hawezi dhani unaenda kuchukua dawa.

Mungu awape ujasiri wateja wote wa ARV kujikubali na kuishi njema tu bila kuwaambukiza watu wengine. NOBODY IS GOING TO MAKE IT OUT ALIVE

nawajua watu wanne wanagonga ARV
1 alianza nazo kipindi ndo zimeingia
1 ana muda mrefu nadhani zaidi ya 10 yrs
1 ana miaka 8/9 kama sikosei sababu alijua kipindi ana mimba
Na wa mwisho ana miaka zaidi ya mitatu, huyu alikataa dawa na aliishi vizuri tu for few years, lakini alipigwa na shambulio la aibu la fungus na TB mpaka akaanza dozi ukimuona wala huwezi mdhania kwamba kidogo aume shuka
 
Mbona nimekueleza vizuri tena zaidi ya vizuri, sijui kwa nini hujanielewa.

Lugha yangu huwa inanyooka tu moja kwa moja, ulipaswa kuwa umeshanielewa. Anyway.

Nimesema hivi...

Kwenye ngono huwa kuna watu wawili: MWENYE MAAMBUKIZI, na asiye na MAAMBUKIZI.

Ni dhahiri, MWENYE MAAMBUKIZI, mwili wake tayari umeshalemazwa na athari za vitu vingi ikiwemo sumu na uchafu, ndio maana tayari amekuwa STOO YA MADUDU, TO BEGIN WITH.

Wewe usiye na maambukizi, ukikutana na huyu mwenye maambukizi, akivimimina vidudu vyake ndani ya mwili wako hautaweza kudhurika endapo mwili wako ni MSAFI kwa sababu wadudu hawaishi sehemu safi. Watavunjwa vunjwa na kutokomezwa.

Kinyume chake, kama mwili wako ni mchafu, akikuingizia vimelea vyake ndani ya mwili wako, lazima udhurike kwa sababu vijidudu vitakapokuingia vitakutana na eneo maridhawa lenye uchafu na matakataka mengine mazuri kwa ajili ya kustawi na kumea.

KWAHIYO, uchafu ndani ya mwili sio tiketi ya moja kwa moja ya kupata magonjwa.

Magonjwa yanakuja pale ambapo uchafu unakutana na VIJIDUDU.

Your body can be as polluted as possible, but when you encounter a parasite or a bacteria, it will stay there forever feeding on the DIRT unless the DIRT is removed.
Sorry BICHWA KOMWE - naingilia convo yenu. Sasa kama umekubali kua kuna watu wanavijidudu kwenye miili yao vilivyopokelewa na kutokana na uchafu wao sioni cha kubishana hapa, Maana kwa logic yako ni kwamba ugojwa ni khali ya mwili kushidwa kumudu attack ya huo uchafu ulioweza kuleta wadudu/materials zisizo takiwa.

Nikitumia logic ya kizungu pia ni ivo ivo kua ni khali ya mwili kushabuliwa na virus kwenye damu means miili yetu inaishi na bacteria/virus ambao inawamudu na sahihi kwa mwili tu ila wale ambao sio sahihi kwenye mwili wakingia lazima walete madhara kiutendaji katika mwili ndo maana zikawepo dawa ili kuondoa au kusaidia pale mwili uliposhindwa kufix kwa mda huo.

Nachotaka nijue kwa upande wako;
1-Unaamini virusi wa ukimwi ni weak kwenye mwili msafi?
2-Mwili msafi ni immortal hauwezi kukugswa na virus/materials/bacteria ama gojwa lolote?
2-Una amini virus wa ukimwi ni fictional tu hawa exists?
3- una amini virus wa ukimwi wanakua built-in hawatokei kwa mtu mwingine?

Au ni vipi we unajaribu kutuelimisha, maana hoja zako za nyuma ni kama unapinga then unapangua ulichopinga.
 
Ndio. Lakini kumbuka UKIMWI hauambukizwi.

Mengine uliyosema ni sahihi.
Mimi binafsi kwenye ukimwi hauambukizwi ndo nitahitaji kueleweshwa zaidi.

Hoja kama iyo nishaisikia sana tuu tokea kwa kina doctor sebi uko ila kwa akili za kawaida tu mtu lazima uchanganye naz zako sio kukubali tu kila kitu.

Nacho jiuliza kama haumbukizwi basi ningewish mfano uyo dr sebi ambae alikua na iyo idea tumchome sindano ya damu ya mtu mwenywe upungufu kwa kinga mwilini af tuone kama hato undergo kua ilo tatizo kama sio ugojwa kwa hoja yake/yako.

Mimi ninacho amini ni kua virus wa ukimwili kweli wapo, nina amini wanaweza kua transfered kutoka kwa mtu mmoja hadi kwa mtu mwingine, ila pia nina amini vidonge vya ARVs sio njia sahihi ya kupambana na hao virus ila ni biashara za watu wazidi kuangamiza watu wengine ili kuendelea kua superior. Same thing kwenye kisukari and etc.
 
Na wa mwisho ana miaka zaidi ya mitatu, huyu alikataa dawa na aliishi vizuri tu for few years, lakini alipigwa na shambulio la aibu la fungus na TB mpaka akaanza dozi ukimuona wala huwezi mdhania kwamba kidogo aume shuka
Kuna huyu jamaa anaitwa mzabzab anakwambia hajameza ARV kwa miaka 17 na anadunda tu.

Nimempongeza sana, japo sijui kama aliacha kumeza hayo madonge kwa kujua ubaya wake au kutokana na hofu tu, lakini alichukua uamuzi uliookoa maisha yake.

Huyo aliyeacha ARV na kuugua TB na Fungus ni kwa sababu ARV zinaangamiza Kinga asili ya mwili na yenyewe inasimama kama ARTIFICIAL IMMUNITY. Ukiacha kutumia ARV lazima ufe.

ARV ni sumu kama madawa ya kulevya. Ukianza kumeza hutakiwi kuacha la sivyo unakufa.

Kinachokuua si UKIMWI, bali sumu za ARV.
 
Yes hata vitengo fatilia wanawake wengi kuliko wanaume nikauliza wakasema wengi wanaletewa na wanaume kwakua wao wanaenda hospital mfano clinic za mimba watoto wanapimwa wanaume hawapimi na wana waogopa kiwaambia wasipewe lawama wao ndo wameleta ndo maana wanabanwa clinic ya wajawazito una mimba njoo na mwenza wako naonhea kitu nakijua nimeshuhudia kaka yangu Dr na sio wanawake mpaka watoto underage ni wengi wanakula arv ukiwaona unatetemeka unasema wanangu nyumbani wakikutana na hawa wenzao masikini elimu yenyewe hawana ya kujikinga acha TU.
Kwanini General umesema mnaletewa na Wanaume umefanya Tafiti kuna Proof beyond reasonable doubt with data
 
Kuna huyu jamaa anaitwa mzabzab anakwambia hajameza ARV kwa miaka 17 na anadunda tu.

Nimempongeza sana, japo sijui kama aliacha kumeza hayo madonge kwa kujua ubaya wake au kutokana na hofu tu, lakini alichukua uamuzi uliookoa maisha yake.

Huyo aliyeacha ARV na kuugua TB na Fungus ni kwa sababu ARV zinaangamiza Kinga asili ya mwili na yenyewe inasimama kama ARTIFICIAL IMMUNITY. Ukiacha kutumia ARV lazima ufe.

ARV ni sumu kama madawa ya kulevya. Ukianza kumeza hutakiwi kuacha la sivyo unakufa.

Kinachokuua si UKIMWI, bali sumu z
Kuna huyu jamaa anaitwa mzabzab anakwambia hajameza ARV kwa miaka 17 na anadunda tu.

Nimempongeza sana, japo sijui kama aliacha kumeza hayo madonge kwa kujua ubaya wake au kutokana na hofu tu, lakini alichukua uamuzi uliookoa maisha yake.

Huyo aliyeacha ARV na kuugua TB na Fungus ni kwa sababu ARV zinaangamiza Kinga asili ya mwili na yenyewe inasimama kama ARTIFICIAL IMMUNITY. Ukiacha kutumia ARV lazima ufe.

ARV ni sumu kama madawa ya kulevya. Ukianza kumeza hutakiwi kuacha la sivyo unakufa.

Kinachokuua si UKIMWI, bali sumu za ARV.
Ahaa kwa maana iyo ni tuishi, tuache kufikilia wala kupima ukimwi. Basi sio mbaya, ni sawa, maana hakuna dawa ya kutibu kifo.
 
Dah hii kupima na juzi nimetoka kugombana na demu baada ya kuniletea UTI [emoji3061][emoji3061] eeh mungu nivushe na hili
 
Ukimwi ni laana Aisee inetafuna familia

1998...babi yangu


2005.....mjomba wangu


2020...mama yangu


2024...baba bado anadunda na ARV


2024....mdogo wangu amegundulika na tunauguza kwa sasa

Nikifikiria Hii dunia naona sio sehem Salama kabisa [emoji22][emoji22][emoji22]
 
Ukimwi ni laana Aisee inetafuna familia

1998...babi yangu


2005.....mjomba wangu


2020...mama yangu


2024...baba bado anadunda na ARV


2024....mdogo wangu amegundulika na tunauguza kwa sasa

Nikifikiria Hii dunia naona sio sehem Salama kabisa [emoji22][emoji22][emoji22]
Pole Mkuu!! Fanya Ibada!! Jiweke busy na kazi ..... Jichanganye na watu ..... Kuondokana na hayo mawazo!! Hakuna Atakaetoka Kwenye Hii Dunia Akiwa Hai!! Huoni mzee bado anadunda? Ila Vijana wangapi washasepa na ni wazima kiafya ....kila Mtu ni swala la Muda Tu tutasepa wote Mkuu
 
Ukimwi ni laana Aisee inetafuna familia

1998...babi yangu


2005.....mjomba wangu


2020...mama yangu


2024...baba bado anadunda na ARV


2024....mdogo wangu amegundulika na tunauguza kwa sasa

Nikifikiria Hii dunia naona sio sehem Salama kabisa [emoji22][emoji22][emoji22]
Dah pole sana mkuu, Mungu akutie nguvu
 
Um
Pole Mkuu!! Fanya Ibada!! Jiweke busy na kazi ..... Jichanganye na watu ..... Kuondokana na hayo mawazo!! Hakuna Atakaetoka Kwenye Hii Dunia Akiwa Hai!! Huoni mzee bado anadunda? Ila Vijana wangapi washasepa na ni wazima kiafya ....kila Mtu ni swala la Muda Tu tutasepa wote Mkuu
Umeongea fact sana mkuu
 
Mimi ukimwi ni nimepima sina ila sitosahau
Jinsi nilivyoshudia ukimwi ukitekeleza mauji ya mtu nilimpenda sana MAMA ANGU MZAZI TENA DAKTARI ALIKUWA

Mama angu alikuwa yupo hapo wilaya inaitwa mafinga huwa kuna ukimwi sana tulihamia mwaka 1996 kutoka dar es salaam kwa miaka mingi nilishuhudia vifo vya majirani walivyokuwa na ukimwi sababu mama alikuwa daktar wengi walikuwa wakija nyumbani kutibiwa na kupewa ushauri miaka ile ya 90s hadi 2000s mwanzoni

2010 na kumi nikahama jumla mafinga na kuja dar kutafuta maisha baada ya kumaliz masomo yangu ya degree .....2013 tukamzika babangu mzazi ambae alichana na mama mama angu mwaka 96 sasa baada kutoka msibani nikamuuliza mama huyu baba kafa kwa HIV vipi ww utakuwa mzima akanijibu mimi ni mzima mwanangu

2016 nilikuwa na safari kwenda china kwa ajlii ya business zangu nikarudi mafinga kwenda kumuaga sasa alinituma kitu nikachukue chumbani kwake naingia nakuta ARV kitandani moyo wangu ulisononeka sana nakumbuka nililia sana ila mama angu akasema usilie ni jambo la kawaida nakumbuka akiniangalia kwa macho ya aibu huku pia akijikaza sababu alinipenda sana koz mimi wa mwisho kwetu

2020 kipindi ch korona mama angu mzazi anapapalaizi baada ya kupigwa stroke for two years anakuwa kitandani

2022 mama angu anaingia deadliest stage ya Ukimwi AIDS..Hapa sasa ndo nilijua ukimwi mbaya alitokwa na vidonda mgongo mzima sababu alikuwa kapalalaize hivyo bed sores zilimuandama sana.....wewe anakonda ....mno kumbuka mimi hapo miaka hiiyo mitatu natumia hela zngu binafsi nilitumia zaidi millioni 30 hadi niliyumba kidogo kiuchumi sababu ya kuuguza mgonjwa safari za magari dawa kwenda rufaa mara week nyumbani mwezi hospital ...mara hali hadi mipira mara awe kichaa mara awe mzima nyie ukimwi balaa stage ya mwisho ile

2022 machi hali inakuwa mbaya mgonjwa ni amepalalaize mwili umebaki kichwa tu....vidonda kila kona ndugu zake wananyanyapa yaani ilibidi nimkodi nesi wa kike anisaidie kazi kusafisha vidonda kila siku 20000tsh....... then mach 2022 mama akafariki .....taarifa ya kufAriki kwakwe ilinikutia bar nikiwa na marafika zangu nilikaa kimya

Nilirudi nyumbani nikasema pole na mama angu nilikupenda sana bora umekufa kuliko ulivyokuwa unateseka maana mgongo ulikuwa kama nyama buchani hakuna ngozi......

Nikasema nitakukumbuka daima na kukupenda daima then nikalala zangu nikatafuta dereva wa kuniendesha hadi mafinga iringa nikampa laki mbili nikajaza mafuta tukaondoka .....njiani nae dereva nusu aniue pale kitonga anasisinzia nikamwambia unajua mimi naenda msibani afu unaleta usengeee ...nikachukua chuma mwenyewe nikaendesha hadi mafinga

2022 machi 25 tukamzika mama angu mzazi msibani nilikuwa nauchungu kuwa sito muona tena ila kifo sometimes ni muhimu kwa mateso aliyoyapata kifo ilikuwa bora kuliko kuishi .....maana miguu mgongo ilikuwa ni nyama za buchani tu

Hadi leo hii hakuna siku inapita simkumbi mama angu mzazi

So wagonjwa wa ukimwi mezeni dawa pia hakikisheni vizuri

Pia serikali iweke sheria kwa hospital au madaktar kuwaua kwa maksudi kwa agizo la mgonjwa mwenyewe endapo stage aliye fikia hawezi pona maana inakuwa ni mateso sio kuumwa ....hasa kwa wagonjwa wa kansa mara nyingi madaktar hujua kuwa flan haponi wanabaki wanazuga tu na mgonjwa anateseka bure na maumivu makali yasio na mwisho.....
ANZA KUJIUA UONE KAMA N RAHISI KUUA WENZIO
 
TAARIFA TAARIFA NDUGU MWENYEKITI

ttumepunguuzaidadii ya ukimwi...

TAARIFA TAFADHALI
 

Attachments

  • Screenshot_20240517-065442_Gallery.jpg
    Screenshot_20240517-065442_Gallery.jpg
    262.4 KB · Views: 6
Mbona unakula chakula kila siku.
Unapoenda kulala unakunywa dawa zako maisha yanaendelea.
Binafsi nawashukuru sana waliotengeneza RV na mamlaka zinazotoa hizo dawa kwa wahusika bure.
Bila hivyo lingekuwa janga la dunia.
Umeongea vizuri in a simple way kama sio mshauri basi una experience ya kushauri watu
 
Umewasilisha ujumbe mzuri sana wenye mashiko lakini umekosea baadhi ya sehemu kuwalaumu wanaume wa kiafrika kwa kuwalaani

Kwanini umekosea sababu unafanya blame shift

Nobody is responsible for your life ratherthan yourself

View attachment 2991538
Lakini sina kinyongo nao na ninashukuru walinifundisha akili nikajua kutambua mimi natakiwa kufanya nini, kuwa na ex ni darasa tosha.
Ukiona mtu kakuacha jua wewe hauko moyoni kwake, ni bora akuache apate furaha yake. So ninashukuru nilipatq somo najitambua.

Kama kuna sehemu nimeteleza kuandika nisamehe wengi wetu hatujui kupangilia maandishi.
 
Hii ID yako imekuwepo humu jukwaani kwa muda mrefu naionagaga

Umeandika kwa hisia Sana a point to note wewe Kama mwanamke inaitaji either MWANAUME wakukuongoza ama hata MTOTO mmojaa...

Wanaume wazuri wa kuanzisha nao familia Mbona wapo wengi TU Tena wanyoofu na very respectful nyinyi hamuwaoni au hamna bahati nao nashukuru Mimi Ni mmoja wao na nipo kwenye ndoa..

All in all fanya fanya upate MWANAUME wa Maisha yako punguza uoga sister sawa
Lazima apatikane Mungu hanaga choyo, njia nyeupe kabisa ipo qakati wa Mungu ni sahihi. Usifanye vitu kuwafurahisha watu, fanya kufurahisha moyo wako.
 
Back
Top Bottom