Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Mpuuzi kweli. Sikukutag wala kukutafuta. Kipele chako kujia comment yangu ilhali nimemjibu mleta mada. Au ni basha wako
Matusi hayatakusaidia kitu kwenye maisha yako ila yanaonyesha wewe ni mtu wa aina gani au unadhani kuna mtu hajui kutukana humu? Ila hatuoni faida yake ni ujinga tu unakusumbua
 
Hata yesu alisema "farijianeni kwa maneno hayo" wacha wafarijiane ila kusema kweli HIV ni gonjwa la aibu sana.

Aibu gani tena sheikh labda kwa Ke ,ila kwa me Si ndiyo unaonekana rijari kwamba ulikuwa unatembeza rungu kama comrade kipepe.
 
Hata yesu alisema "farijianeni kwa maneno hayo" wacha wafarijiane ila kusema kweli HIV ni gonjwa la aibu sana.
Ukiwaza hivyo itakutesa sana, kikubwa sio kila mtu ajue kwamba una HIV, ila ni ugonjwa ambao hauna mateso but unaweza kuepukika
 
Hata ikija mkuu 😃😃
Pipo ni wagese watasahau tu kwenda kuchwa sindano😃😃😃
Sio rahisi, kwanza siku ikikaribia unapigiwa simu hadi kero kukumbushwa tarehe yako, wanakufuatilia mpaka utajiona Mfalme
 
Huu uzi ufanywe STICKY na Ufanyiwe Moderation nzuri.
Mm binafsi Sijapima for almost 10 years plus Ingawa nimeuza mechi sana.Hata hivyo niliwahi shawishika kupima ila nikabadilisha mawazo na kujiuliza maswali kadhaa ambayo hayana Majibu.So nikaamua kuzingatia kanuni za afya kula vizuri,kupmzika na kuanza kutumia Kinga.

So far namshukuru Mungu kwa zawadi ya Uzima.Nafikiri kujiunga na CHAPUTA kabisa maana nakumbuka Tangazo Fulani hivi lilikuwa linasema A-Abstain B-Be faithful C-Condom USE.
 
Back
Top Bottom