Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Tangu nimeanza kwichi kwichi,sijawahi kufanya bila Mpira,.naogopa Mimba kuliko hiyo Ngoma,

Kuna Mrembo nimekutana nae Zanzibar Mwezi Jana,Kaniambia Ana Maambukizi,kumgusa naogopa,,Kumuacha naona nitadhulumu nafsi,Mtoto yupo kama Amandla Stenberg
Picha basi mwanawane....alafu piga assist basi mie nikaenjoy nae
 
Acha upotoshaji usio na tija, ukiwa na hii changamoto si tiketi ya kifo tena, 30 years after watu wanalea wajukuu sasa
Acha ku claim , dunia haiko ivo unavyoiona, ninachokwambia ni kweli na sidanganyi..
Stay na ulichonacho mkuu.
 
September 25 kaulimbiu ni ileile
"Pima afya yako, jitambue, tumia condom"
Naomba kuuliza kipenzi, hv ukishaanza kunywa dawa sio rahisi kumuambukiza mtu ambae ni negative? Nimeshuhudia kuwa watu wamepata maambukizi lakini wenza wao wako negative
 
Back
Top Bottom