Mkeshahoi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 2,469
- 284
Dar es salaam wanapatikana Sinza ,si mbali na Africa Sana... Walianza na 10% riba kwa mwezi ila nasikia wameshusha.... muhimu uaminike katika chanzo cha kipato dhamana (hata kama ni vitu vya nyumbani)/Biashara n.k...hawa wanapatikana Dar maeneo gani.?
Binafsi nilishawatumia na kuna wakati nawatumia kwa dharura.. ukiaminika si wasumbufu..
tembelea Enterprise Finance LTD kwa uelewa zaidi
Ni hayo tu