Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

Yaani mkopo utake wewe,na taratibu ujipangie mwenyewe,,,hakuna mkopo wa hivyo duniani,hata WB tu wanamasharti yao ndo sembuse MTU asiyekufahamu...
Teh teh teh!! Nimecheka sana na nahisi ndio anavyojua ivyo
 
Wakuu habari naulizia kampuni inayotoa mikopo kwa dhamana ya vyeti ni hivyo tu ahsante
 
Watanufaika na nini na hiyo IV yako?
 
Sasa ukishindwa kulipa, vyeti vyako wataviuza wapi ili waweze kurudisha pesa yao!? ukizingatia hivi sasa vyeti feki havina soko!!!
 
Ukipata mkopo kwa dhamana ya vyeti nishtue na mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nahitaji mkopo kwa kweli!
 
Dogo yuko serious kweli. Acheni kujoke.
 
Hali ngumu hadi mtu anataka aweke vyeti Bond?

Ila wenye nchi wanasem uchumi umekua
 
Habari wanawajasiriamali wafanyabiashara na wadau wote wa jukwaa hili.

Je naweza kupata mtu ambae anakopesha kwa riba au au mwenye info zozote za upande wa hitaji hilo, kama yupo sio mbaya ukajongea PM kwa maongezi zaidi.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom