Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

Dhamana ya nyumba kwa mkopo wa milioni moja? Nini kimekupata mkuu
 
Habari..
Kama kichwa kinavojieleza nahitaji mkopo wa Tsh 600,000
Nitarudisha baada ya Mwezi 1 na week 1..

Naweka Macbook Air na
Huawei MiFi router ambayo inasoma line zote

Ahsanteni.
 
riba unatoa bei gani??? na je hivyo unavyoweka thamani yake ni bei gani???

toa maelezo yaliyonyooka mkopo watakupa tu.. na ukiweza weka na picha kabisaaa
 
Bado miaka 7 tunaendelea kunyoosha
 
Profile yako inasema una miaka 13 mkopo wa nini wewe?[emoji15] [emoji111]




Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom