Conor Neil
Member
- Mar 5, 2017
- 5
- 4
Tufanye biashara tuu, niuzie hiyo macbook air. Picha plz kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dhamana inatakiwa iwe na gharama zaidi ya unachokopaYaani mkopo wa 750 na cent 000 alafu dhamana 1 na cent 100.000 kweli? hivi nyie CCM huwa mkoje? nitumie M-pesa yako nikupe hata sikukopeshi nitakutumia 2,000 pamoja na ya kutolea.
Namaanisha laki saba na hamsini na nnatoa dhamana ya milioni na laki moja. Dhamana ni hisa zangu na zipo safi kuuzika .. Kama unaweza kunikopesha ntashukuruYaani mkopo wa 750 na cent 000 alafu dhamana 1 na cent 100.000 kweli? hivi nyie CCM huwa mkoje? nitumie M-pesa yako nikupe hata sikukopeshi nitakutumia 2,000 pamoja na ya kutolea.
Mkuu kabla ya kuita mtu mpumbavu angalia sababu ya kuandika alichoandika. Badala ya 750,000 mtoa mada kaandika 750.000.dhamana inatakiwa iwe na gharama zaidi ya unachokopa acha upumbavu
Mkuu embu elewa taratibu za uandishi wa namba ina maana mimi nije huku kuomba mkopo wa 750 ..Mkuu kabla ya kuita mtu mpumbavu angalia sababu ya kuandika alichoandika. Badala ya 750,000 mtoa mada kaandika 750.000.
Kakurupuka huyo,Mkuu kabla ya kuita mtu mpumbavu angalia sababu ya kuandika alichoandika. Badala ya 750,000 mtoa mada kaandika 750.000.
Jinsi ulivyoandika mkuu ni kama vile ni mia saba hamsini (750.00), au hujui kutenganisha kati ya 750.000 na 750,000?badilika mkuu, kwa ufupi sina hiyo hela mkuu hata mimi nimepinda vibaya sana.Namaanisha laki saba na hamsini na nnatoa dhamana ya milioni na laki moja. Dhamana ni hisa zangu na zipo safi kuuzika .. Kama unaweza kunikopesha ntashukuru
mpumbavu wewe usie jali tabu za mwenzako !!!dhamana inatakiwa iwe na gharama zaidi ya unachokopa acha upumbavu
Kakope kazini kwako tu kwan huna rafiki au MTU wa kariby pesa ngumu jaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesoma alichoandika au unarukia?dhamana inatakiwa iwe na gharama zaidi ya unachokopa acha upumbavu
Kuna tofauti kubwa kati ya 750.000 na 750,000/=Wadau habarini za kwenu natafuta mtu anikopeshe kama 750.000 nimepata dharura ya haraka halafu financials zangu hazijakaa poa.
Nna collateral ina value kama ya 1.100.000 ni hisa nilinunua mwanzoni mwa mwaka huu, sina nia ya kuziuza maana zina pottential kubwa mno na nahitaji kuzishikilia bado.
Ntalipa deni ndani ya miezi minne maana pia mi ni mwajiriwa so kila mwezi ntaligawanya deni na baada ya miezi minne ntakuwa nimekamilisha.
Natoa 10% interest so ntarudisha top 825.000 kwa hiyo miezi minne.
Nashukuru kama ntapata msaada hata kwa mwisho wa wiki ijayo, kuhusu hiyo collateral nna certificate so unaweza ku i shikilia kwa kipindi hicho kama utahitaji
Asanteni, naomba atayejitokeza ani pm
Mkuu achana na huyo, hajui hesabu na hesabu ni janga la kitaifa.Mkuu embu elewa taratibu za uandishi wa namba ina maana mimi nije huku kuomba mkopo wa 750 ..