Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

weka picha za hiyo macbook tuone na hiyo router. then riba yangu ni 20% kama uko tayari tuwasiliane pm
 
Jamani ninahitaji mkopo usiokuwa na ubabaishaji Kwa ajili ya ukarabati wa nyumba yangu,ni mfanya kaz wa sekta ya kitalii

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Wadau habarini za kwenu natafuta mtu anikopeshe kama 750.000 nimepata dharura ya haraka halafu financials zangu hazijakaa poa.

Nna collateral ina value kama ya 1.100.000 ni hisa nilinunua mwanzoni mwa mwaka huu, sina nia ya kuziuza maana zina pottential kubwa mno na nahitaji kuzishikilia bado.

Ntalipa deni ndani ya miezi minne maana pia mi ni mwajiriwa so kila mwezi ntaligawanya deni na baada ya miezi minne ntakuwa nimekamilisha.

Natoa 10% interest so ntarudisha top 825.000 kwa hiyo miezi minne.

Nashukuru kama ntapata msaada hata kwa mwisho wa wiki ijayo, kuhusu hiyo collateral nna certificate so unaweza ku i shikilia kwa kipindi hicho kama utahitaji

Asanteni, naomba atayejitokeza ani pm
 
Yaani mkopo wa 750 na cent 000 alafu dhamana 1 na cent 100.000 kweli? hivi nyie CCM huwa mkoje? nitumie M-pesa yako nikupe hata sikukopeshi nitakutumia 2,000 pamoja na ya kutolea.
dhamana inatakiwa iwe na gharama zaidi ya unachokopa
 
Yaani mkopo wa 750 na cent 000 alafu dhamana 1 na cent 100.000 kweli? hivi nyie CCM huwa mkoje? nitumie M-pesa yako nikupe hata sikukopeshi nitakutumia 2,000 pamoja na ya kutolea.
Namaanisha laki saba na hamsini na nnatoa dhamana ya milioni na laki moja. Dhamana ni hisa zangu na zipo safi kuuzika .. Kama unaweza kunikopesha ntashukuru
 
Jinsi ulivyoandika mkuu ni kama vile ni mia saba hamsini (750.00), au hujui kutenganisha kati ya 750.000 na 750,000?badilika mkuu, kwa ufupi sina hiyo hela mkuu hata mimi nimepinda vibaya sana.
 
Wadau habarini za kwenu natafuta mtu anikopeshe kama 750.000 nimepata dharura ya haraka halafu financials zangu hazijakaa poa.

Nna collateral ina value kama ya 1.100.000 ni hisa nilinunua mwanzoni mwa mwaka huu, sina nia ya kuziuza maana zina pottential kubwa mno na nahitaji kuzishikilia bado.

Ntalipa deni ndani ya miezi minne maana pia mi ni mwajiriwa so kila mwezi ntaligawanya deni na baada ya miezi minne ntakuwa nimekamilisha.

Natoa 10% interest so ntarudisha top 825.000 kwa hiyo miezi minne.

Nashukuru kama ntapata msaada hata kwa mwisho wa wiki ijayo, kuhusu hiyo collateral nna certificate so unaweza ku i shikilia kwa kipindi hicho kama utahitaji

Asanteni, naomba atayejitokeza ani pm
Kuna tofauti kubwa kati ya 750.000 na 750,000/=
 
Back
Top Bottom