Hunyu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,774
- 4,327
Kuwa mpole na msitaarabu na ukubali makosa. Si kila mtu anaweza kuingia akilini mwako akaelewa ulitaka kumaanisha kitu gani. By the way unapokosilewa unatakiwa kuacknowledge na kuadmit makosa.Mkuu embu elewa taratibu za uandishi wa namba ina maana mimi nije huku kuomba mkopo wa 750 ..