Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

Habari?
Natafuta Mkopo wa Tsh Milioni 3 riba isizidi asilimia 20% kwa mwaka.
Msaada tafadhali.
Asante.
Mkuu, hakunaga riba ya asilimia 20% kwa mwaka, hiyo ni kwa mwezi. Wanaita reducing balance kwa mwaka.

Huwezi kupata hiyo ya 20%
 
e283951acd84762cb52516128c1e4ff0.jpg
mfuate huyo jamaa anatoa mkopo bila riba
 
Sharti uwe mkazi wa dar na unaruhusiwa kukopa baada ya miezi mitatu na unakopa mara tatu ya akiba yako...ni sacoss ya kanisa atakaehitaji jina pm
Naomba namba za simu za hiyo Saccoss niwatafute kiongozi..
Au Address yao yoyote niweze fika.
Asante.
 
Mkuu labda ukope kwenye institution ya fedha. Tunakopesha kwa riba ya 15% kwa hiyo kwa mwezi hiyo mil 3 inazalisha 450,000. Kwa mwaka inakuwa imezalisha zaidi ya 5 mil. Ni ngumu.
 
Back
Top Bottom