Dar es salaam wanapatikana Sinza ,si mbali na Africa Sana... Walianza na 10% riba kwa mwezi ila nasikia wameshusha.... muhimu uaminike katika chanzo cha kipato dhamana (hata kama ni vitu vya nyumbani)/Biashara n.k...hawa wanapatikana Dar maeneo gani.?
Nashkuru kwa mawazo yko mkuuFans??
Ushauri kajaribu kwenye mabenki
Mkuu ni pm ushapata
Mkuu ni pm ushapata
poa posta mpya au ya zaman mkuuNenda UTT Microfince posta wanatoa hiyo mikopo ya haraka ila sijui haraka yako ni ya kiasi gani kesho hiyohiyo ungepata
wee vp ulitakaje akili finyu tuu kubwa zimaaaUnakopa simple hivi.... Hey fans... Nahtaj mkopo.... Teh teh wabongo bana kweli hamnazo
Wewe ni Me au Ke? Kama ni Ke niPM utapata mkopo