Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nahitaji million mojaMim niko huku vancouver canada,unataka kiasi gani?
Unataka sh ngapi?
Kwa nini usiende kukopa Bank zenye riba ndogo?. Kumbuka mkopo ni kwa ajili ya kuendeleza biashara na si kuanzisha biashara au vinginevyo.
million moja
Kama Uko Dar nenda EFL.. riba yao 8% p.m unarejesha hadi miezi 3.
Mkuu mpe maelekezo yaliyokamilika, ili apajue hapo,hakuna anaependa kuomba itakuwa jamaa amekwama msaidie tu
Mkuu mpe maelekezo yaliyokamilika, ili apajue hapo,hakuna anaependa kuomba itakuwa jamaa amekwama msaidie tu
Kama Uko Dar nenda EFL.. riba yao 8% p.m unarejesha hadi miezi 3.
Na wewe unataka? Maana unavyoshabikia nakuona kabisa uko Dar na boonge la njaa tarehe hizi kwa wafanyakazi baadhi hata ukimwambia umkopeshe kwa 200% anakubali tu hawajui hata madhara yake.
Ngongoseke msamehe tu watu wengine wana maneno ya shombo sana japo kanichekesha sanaNa wewe unataka? Maana unavyoshabikia nakuona kabisa uko Dar na boonge la njaa tarehe hizi kwa wafanyakazi baadhi hata ukimwambia umkopeshe kwa 200% anakubali tu hawajui hata madhara yake.
Chonde chonde usikope kwa mtu,,labda awe na hofu ya mungu