Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Afadhali nimepata sehemu ya kupokea faraja baada ya hawa kenge wa CCM kunitibua. Shukrani sana na barikiwa
View attachment 3121418
Ndugu watanzania kupitia Uzi huu nitakuwa Kila siku Alfajiri ninatuma mstari maalumu wa maombi Kwa wale waombaji wa asubuhi. Ufunguapo Uzi huu kuanzia saa nane kamili usiku utakutana na maneno yatakayokuongoza na kuchochea nguvu ya maombi.
MSTARI WA KUSIMAMIA
Zaburi 90:14 " Utushibishe Asubuhi kwa fadhila zako. Nasi tutashangilia na kufurahi siku zetu zote"
LUGHA;
Tunaomba Uzi huu uchangiwe Kwa Lugha nzuri yenye staha ili kuwasaidia wapenzi wa maombi ya Asubuhi kupata sehemu ya kutumiana jumbe na kuombeana. Haitakuwa busara kama hauamini katika maombi ukatukana au kukashifu jambo linaloweza kusababisha Uzi kufungwa.
Mbarikiwe na karibuni kwenye Uzi huu maalumu kwaajili ya maombi ya Asubuhi.
Asubuhi ya Leo 10/10/2024 post #13 au bofya hapo chini kupata mstari wa leo
Post in thread 'Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri' Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri
Leo 11/10/2024 post #49
Bofya kiungo hapo chini kwaajili ya maombi ya leo.

New. 11/10/2024
Kwa watakao penda kupokea ujumbe wa maombi mstari wa KUSIMAMIA Kwa njia ya Text za kawaida ama watsup. Ni vyema tutawasiliana PM Kwa mujibu wa sera ya faragha ya Jf. Pia kuanzia Jumatatu ijayo yaani 14/10/2024 tutakuwa na watsup group mahsusi Kwa maombi. Kwa wenye uhitaji tuwasiliane PM.
Mbarikiwe
14/10/2024
Nawaombeni radhi Kwa ukimya wa siku mbili tatu hizi maombi mazuri siku zote hayakosi changamoto tuzidi kuombeana aidha Kwa Wana watsup tuzidi kujisajili... Tukutane muda wa maombi ya moto ! Usibaki nyuma!
15/10/2024 post#114 Post in thread 'Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri' Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri
16/10/2024 post no 23 Post in thread 'Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri' Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri
Leo 18/10/2024
Page #140 Post in thread 'Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri' Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri
Leo 19/10/2024

Post #144
Leo 21/10/2024
Leo 23/10/2024Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri
Zaburi 90:14 Utushibishe asubuhi kwa fadhili zako. Nasi tutashangilia na kufurahi siku zetu zote. Psalm 90:14 Oh, satisfy us early (in the morning) with Your mercy (steadfast love), That we may rejoice and be glad all our days! Amina nyingi mtumishi mjoli wa bwanawww.jamiiforums.com
Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri

AmenBwana Yesu asifiwe
Wiki hili tutaomba kwa ajili ya wenzetu walioteza maisha kwa ajali ya jengo la kariakoo tumhimidi Mungu kwaajili ya wote ambao wamepona katika ajali hii iliyotokea kariakoo
Waliopoteza wapendwa wao Bwana awape tumaini kipindi hichi kigumu
Amen

AMINA MUNGU WA UPENDO BADO ANATUPENDA JAPO TUNATANGA MBALI NA UPENDO WAKE TUSEME NINI ZAIDI YA ASANTEBwana Yesu asifiwe
Ni siku nyingine tena tunakutana jukwaani hapa Mungu ametupa kibali kukutana jukwaa hili kwa ajili ya maombi .
Unavyoingia katika maombi kila jambo unalo omba jifunze kumuachia Mungu akujibu kwa wakati wake utaona maajabu makubwa jinsi Mungu atavyokutendea makubwa neno linasema hivi
Isaya 55:8
Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema BWANA.
Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu..
Amina hakika Mungu ni wa upendo,tumechagua kuwa wake na tutasubiri atupe/atujibu kwa wakati wake.Bwana Yesu asifiwe