Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Siku ya Leo alfajiri sikupata nafasi ya kuingia humu majukumu yalikuwa ni mengi Anaitwa nani jina halisi huyu Rafiki yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku ya Leo alfajiri sikupata nafasi ya kuingia humu majukumu yalikuwa ni mengi Anaitwa nani jina halisi huyu Rafiki yetu
🙏🏽🙏🏽🙏🏽Tuombe
Mungu mpendwa, tunaweka wasiwasi wetu mikononi mwako. Tunamuweka mgonjwa wetu Ushimen mikononi mwako na tunakuomba kwa unyenyekevu urudishe afya ya mtumishi wako tena. Zaidi ya yote, tupe neema ya kukiri mapenzi yako na kujua kwamba chochote unachofanya, unafanya kwa ajili ya upendo wetu.
Tunazikataa roho za mauti na mabaya
KWA DAMU YAKO YESU KRISTO ULIYE HAI
zisifanikiwe kwa rafiki yetu Ushimen
Tunazikanyaga kazi zote na mipango yote za shetani
KWA DAMU YAKO YESU KRISTO ULIYE HAI
isifanikiwe kwa rafiki yetu Ushimen
Ee Bwana uendelee kumpigania na kumficha chini ya mbawa zako ili apone arudi kuendelea na majukumu yake
Amina
Zaburi 23:4
Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti,
Sitaogopa mabaya;
Kwa maana Wewe upo pamoja nami,
Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
.

Jina lake halisi silifahamu mkuuSiku ya Leo alfajiri sikupata nafasi ya kuingia humu majukumu yalikuwa ni mengi Anaitwa nani jina halisi huyu Rafiki yetu

AMINAShalom shalom
Bwana Yesu asifiwe
Siku nyingine tena Mungu ametupa afya njema na kibali ili tuendelee kumtafuta na kumtumikia
Wote wenye changamoto ya kifya Mungu aendelee kuwapigania yeye ndiye mwokozi haijawahi kushindwa na jambo lolote
Siku ya Leo tutakuwa na maombi ya kuomba kufunguliwa baraka na neema katika kila jambo na mipango tunayotegemea kuifanya kwa wiki zima ili Mungu akatupe kibali
karibuni mahali hapa tujipatanishe na Bwana Yesu
AminaShalom shalom