Ahsante japo niliomba tutumie LUGHA za staa na Kwa wale ambao hawaamini katika maombi ingekuwa busara kupita tuu ili angalau Uzi huu ungewapa nafasi wale wanao amini katika maombi
Mungu uliye mkuu,tunakuombea waja wako,tumeamka asubuhi hii tujalie ridhiki zetu kama upendavyo,tusitishe Salama siku ya Leo,tupe Amani ya mioyo,tulinde na mabaya yote Tunaomba na Kushukuru .Amina.
Baba katika jina la Yesu ni wewe ndiye ujazaye mioyo yetu furaha ,amani , upendo, na kutupa sisi afya na uzima , achilia nguvu ya roho wako kwa anayesoma ujumbe huu ukamfundishe kuvunja vifungo vya magonjwa ambavyo watu wako wamefungwa na mfalme wa giza yaani shetani na malaika zake ( wachawi na waganga , mapepo na majini ) katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth , fungua moyo wa msomaji wa ujumbe huu apate kuelewa ujumbe huu na apate maarifa ya kushindana na kushinda kwelikweli kupitia jina la Yesu .Amen
Tuwe na siku njema yenye baraka watoto wa Mungu. Baraka za Mungu zitembee popote Kwa wote wanao mtumaini. Nawaombea hata mods wa mtandao huu wazidi kuwa na hekima na busara katika kazi Yao. Mbarikiwe wote na Muwe na Afya njema wana wa Mungu.
Amina
Ubarikiwe sana kwakutuletea Uzi huu Mungu anatukumbusha tumtafute kwa bidii zote wakati wote na katika maombi ya asubuhi ni vyema tukaomba sana kwa ajili ya watu wote wakapate kukombolewa
1 Timotheo 2:1
Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote
Kwa wewe unayeamka kwaajili ya kufanya maombi fanya maombi haya yenye nguvu sana na yenye kujibiwa kwa haraka
Anza kwanza kumshukuru Bwana Yesu kwa ajili ya matendo makuu aliyokufanyia wewe pamoja na familia yako siku iliyopita
malaika huko mbinguni wapo attention kusikia vilio vya watu wengi ungana nao lia pamoja na wanaolia utabarikiwa sana
Omba kwaajili ya watu wote wanaopitia mapito magumu ili wapate kukombolewa
Kuna watu wamelala na njaa ila wewe umekula umeshiba waombee
Kipindi hichi vijana wengi wanapitia hali ya kukosa ajira wanamlilia Mungu ungana nao kuwaombea
Kuna watu ulisoma nao tangu shule ya msingi hata secondary lakini hujui wanapitia mapito gani ungana nao kuwaombea wakombolewe
Mwisho ndio peleka hitaji lako kwa Bwana Yesu akutendee
Ninaomba tujulishane kwa wale walioona katika jicho la rohoni mambo ambayo Mungu anatukumbusha tuombe
Bwana wetu Yesu anasema yeye ndiye mzabibu wa kweli na baba yake ndiye mkulima na sisi ni matawi pasipo yeye sisi hatuwezi kufanya neno lolote. Yohana 15 Kwako wewe Kama ambaye unakutana changamoto za kiuchumi na magonjwa nk anza sasa kumtafuta Bwana Yesu katika mida hii ya kuanzia mida hii...
Ubarikiwe sana kwakutuletea Uzi huu Mungu anatukumbusha tumtafute kwa bidii zote wakati wote na katika maombi ya asubuhi ni vyema tukaomba sana kwa ajili ya watu wote wakapate kukombolewa
1 Timotheo 2:1
Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote
Kwa wewe unayeamka kwaajili ya kufanya maombi fanya maombi haya yenye nguvu sana na yenye kujibiwa kwa haraka
Anza kwanza kumshukuru Bwana Yesu kwa ajili ya matendo makuu aliyokufanyia wewe pamoja na familia yako siku iliyopita
malaika huko mbinguni wapo attention kusikia vilio vya watu wengi ungana nao lia pamoja na wanaolia utabarikiwa sana
Omba kwaajili ya watu wote wanaopitia mapito magumu ili wapate kukombolewa
Kuna watu wamelala na njaa ila wewe umekula umeshiba waombee
Kipindi hichi vijana wengi wanapitia hali ya kukosa ajira wanamlilia Mungu ungana nao kuwaombea
Kuna watu ulisoma nao tangu shule ya msingi hata secondary lakini hujui wanapitia mapito gani ungana nao kuwaombea wakombolewe
Mwisho ndio peleka hitaji lako kwa Bwana Yesu akutendee
Ninaomba tujulishane kwa wale walioona katika jicho la rohoni mambo ambayo Mungu anatukumbusha tuombe
Bwana wetu Yesu anasema yeye ndiye mzabibu wa kweli na baba yake ndiye mkulima na sisi ni matawi pasipo yeye sisi hatuwezi kufanya neno lolote. Yohana 15 Kwako wewe Kama ambaye unakutana changamoto za kiuchumi na magonjwa nk anza sasa kumtafuta Bwana Yesu katika mida hii ya kuanzia mida hii...
Baba katika jina la Yesu ni wewe ndiye ujazaye mioyo yetu furaha ,amani , upendo, na kutupa sisi afya na uzima , achilia nguvu ya roho wako kwa anayesoma ujumbe huu ukamfundishe kuvunja vifungo vya magonjwa ambavyo watu wako wamefungwa na mfalme wa giza yaani shetani na malaika zake ( wachawi na waganga , mapepo na majini ) katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth , fungua moyo wa msomaji wa ujumbe huu apate kuelewa ujumbe huu na apate maarifa ya kushindana na kushinda kwelikweli kupitia jina la Yesu .Amen
Ndugu watanzania kupitia Uzi huu nitakuwa Kila siku Alfajiri ninatuma mstari maalumu wa maombi Kwa wale waombaji wa asubuhi. Ufunguapo Uzi huu kuanzia saa nane kamili usiku utakutana na maneno yatakayokuongoza na kuchochea nguvu ya maombi.
MSTARI WA KUSIMAMIA
Zaburi 90:14 " Utushibishe Asubuhi kwa fadhila zako. Nasi tutashangilia na kufurahi siku zetu zote"
LUGHA;
Tunaomba Uzi huu uchangiwe Kwa Lugha nzuri yenye staha ili kuwasaidia wapenzi wa maombi ya Asubuhi kupata sehemu ya kutumiana jumbe na kuombeana. Haitakuwa busara kama hauamini katika maombi ukatukana au kukashifu jambo linaloweza kusababisha Uzi kufungwa.
Mbarikiwe na karibuni kwenye Uzi huu maalumu kwaajili ya maombi ya Asubuhi.
Asubuhi ya Leo 10/10/2024 post #13 au bofya hapo chini kupata mstari wa leo
Ndugu watanzania kupitia Uzi huu nitakuwa Kila siku Alfajiri ninatuma mstari maalumu wa maombi Kwa wale waombaji wa asubuhi. Ufunguapo Uzi huu kuanzia saa nane kamili usiku utakutana na maneno yatakayokuongoza na kuchochea nguvu ya maombi. MSTARI WA KUSIMAMIA Zaburi 90:14 "...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.