Kijana Mpole
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 235
- 212
- Thread starter
- #81
Mashine ya tofali hizi tofali nne, nane na kuendelea hutumia hydraulic system
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kuna mdau nyuma alitoa comment kuuliza Kwa nini Mashine za kusaga na kukimbia hamjaboresha tangu miaka ya nyuma.
Asante sana mkuu nilimjibu na aliridhika na jibu ila kwa kurudia tukianza na mashine za kusaga nikuulize umewahi kumiliki au kuziona za kutoka nje na changamoto wanazopata?Mkuu kuna mdau nyuma alitoa comment kuuliza Kwa nini Mashine za kusaga na kukimbia hamjaboresha tangu miaka ya nyuma.
Kwenye hizo mashine za kusaga na za kuchanganya zege. Mngeongeza teknolojia ya kuweka sensor za kupima uzito wa mzigo kwenye hicho kinu ili kumrahisishia mtumiaji kujua uzito wa atakachosaga kabla ya kuwasha mashine.
Tupo pamoja mkuu Mimi ni muumini wa bidhaa za kutengenezwa hapa nchini na modifications.Asante sana mkuu nilimjibu na aliridhika na jibu ila kwa kurudia tukianza na mashine za kusaga nikuulize umewahi kumiliki au kuziona za kutoka nje na changamoto wanazopata?
Mashine za kusaga ya nje na ya hapa huwezi kuzilinganisha sisi zinajituma katika kazi
Changamoto kuu na ambayo wengi hukimbilia za nje ni gharama lakini baada ya muda husumbua hurudi za hapa hapa
Na kitu kingine kwenye mashine za kusaga kuna watu nikikupa mwaka wa kumi huu sijapata lalamiko lao wengine mitano katulia KITU KIKUBWA AMBACHO NIKUSHAURI
USIKIMBILIE KILA MTU ANAYETENGENEZA MASHINE JIHAKIKISHIE ANATENGENEZA KWA UBORA
na ukiweza muone hata jirani yako ametengenezea wapi
Ukikosa njoo kwetu tukutengenezee mashine imara na bora za kusaga
0763542515sms/call
Hili la sensor tunalipokea japo kwa wale wanaohitaji mashine zenye automation sensor ndio zinawekwa asante sana kwa ushauri karibu sana
Naamini vinaweza kupatikana mkuu ni kutafuta tu karibu 0763542515Tupo pamoja mkuu Mimi ni muumini wa bidhaa za kutengenezwa hapa nchini na modifications.
Mwaka Jana nilikuwa nataka kutengeneza Compressor Mashine ya kuunga unga, jamaa yangu alikuwa na kichwa cha Compressor ya Fiat. Nilitafuta mtungi wa upepo, na Mota ili nifanye modification ili niwe nafua upepo na kutunza katika mtungi mkubwa.
Kama utakuwa na connection ya kupata mtungi mkubwa angalau wa kuanzia 150L au 200L nitakutafuta tufanye Kazi.
KokotoLEO TUTAENDELEA NA MASHINE ZA KOKOTO
SABUNI
INCUBATOR
Karibu sana mkuuKokoto
Mmetia fora kwenye Bei.TUNAENDELEA NA MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI
Mashine za kupukukuchua mahindi inayotumia mafuta million mbili na laki tano ikiwa na engine million tatu na za kutumia umeme million moja na laki saba tuView attachment 1675053
Engine peke yake million moja na laki tano ndugu na hiyo hatutengenezi tunainunua pia Vifaa vipo juuMmetia fora kwenye Bei.
Hiyo ya matofali manne kwa mara moja bei gani?Mashine za tofali nne kwa wakati mmojaView attachment 1675042
Mkuu wenzetu finishing wapo vizuri sana kutokana na uwingi wa mashine kuliko kufanya kwingi kwa mkonoWhy hazipendezi kimuonekano kama machine za watu wa nchi zilizoendelea?
Machine zina Nondo humo humo bati zinajaa kutu zimepinda pinda kama meli za Iran, Rangi inapigwa hovyohovyo tu...
sijui hana kama wanatumia vipimo kisawasawa... am sure mashine zinaweza kuwa za aina moja but uzito utapishana
Hii million kumi na mbili ndugu karibu sana zinatumia hydraulic pressHiyo ya matofali manne kwa mara moja bei gani?
HABARI ZA JUMATATU WAJASIRIAMALI LEO TUNAIELEZEA MASHINE ZA KOKOTO
Mashine ya kutengeneza kokoto hapa hufuatana na mteja anahitaji iwe na conveyor (mkanda maalumu wa usafirishaji kokoto kutoka kwenye kinu)
Bila conveyor mashine kubwa ni million 17 hii ni tani 9-12 kwa saa
Gharama ya conveyor ni million saba kwa hiyo mashine ya kokoto ikiwa na conveyor ni million 24
KAMA MAHITAJI NI CHINI YA TANI 10 PIA INATENGENEZWA NA GHARAMA HUPUNGUA HAPA NI MTEJA KUTUTEMBELEA PESA ALIYONAYO HUFANYIWA HESABU ZA VIFAA
SIZE YA KOKOTO
Hapa size ya kokoto huanzia 0.5inch na kutegemea hitaji la mteja maana kinu huwekewa adjustment knob kutokana na size yako
Hizi hapa chini size mbalimbali na mashine ya kokoto
Mfumo wa uendeshaji upo namna mbili umeme au mfumo wa mafuta (diesel engine)
Mhitaji wa hizi mashine nashauri kututembelea tushauriane kwanza gharama hutegemea uzalishaji wengi huwa ni tani moja au mbili huyu gharama yake ni za kuelewana View attachment 1680128View attachment 1680129View attachment 1680130View attachment 1680131View attachment 1680132View attachment 1680133View attachment 1680134View attachment 1680136View attachment 1680137View attachment 1680138
Kwa kokoto Tani moja itategemea ndugu karibu tuongee 0763542515Mashine ya tani moja ni sh ngp?