Uzi maalumu; Machine zinazotengenezwa hapa nchini

Machine ya juice ya miwa ni shingp
Mashine za juice ya miwa tunaitengeneza ya mkono laki saba na nusu tu
Na za umeme au mafuta million moja na laki tano unachagua mfumo mmoja tu


Lakini za vibanda hizi million moja na laki mbili karibu sana 0763542515sms/WhatsApp
 
Mashine za kusaga na kukoboa tumezifikisha kwa mteja wetu na kumfanyia alignment bado hajafunga mfumo wa umeme karibu 0763542515
 
Hapa kwenye mapanga sehemu sana kwenye setting mashine ya kusaga
 
Sasa naamini tupo uchumi wa kati. Vijana wakiungana wanaweza kununua mashine za kufyatua tofali na kuanza mradi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…