Uzi maalumu; Machine zinazotengenezwa hapa nchini

Hapana mkuu hizo sio tofali za kuchoma Bali ni tofali za udongo na cement tutakufundisha namna ya kuzitengeneza ziwe katika muonekano huo karibu sana 0763542515

Ukichanganya cement moja na udongo inaweza kutoa tofali ngapi kwa makadirio?
 
Sasa naamini tupo uchumi wa kati. Vijana wakiungana wanaweza kununua mashine za kufyatua tofali na kuanza mradi
Kabisa mkuu pia hata bila kuungana unaweza kuanzia na mashine ya tofali za mkono kikubwa utoe tofali nzuri na bora kuna vitu vya kuzingatia likaelekeana kama anaetumia mashine ya umeme
Zipo mbinu zake
Mashine ya mkono ni laki tano tu
 
Kinu cha kupukuchua mahindi bila mashine napata kwa bei gani, wakati wa kupukuchua nitaunganisha PTO ya Trekta
 
La sensor ndilo lilikuwa swali lake. Lililotangulia nalo hukulijibu. Nadhani hujalielewa. Unakimbilia kuzungumzia uimara wa mashine zenu zenye finishing ya hovyo kabisa. Hilo nawe pia umekiri. Esthetics sifuri. Hamko serious! Ni jambo linalowezekana kwa watu makini. Linachangia kufukuza baadhi ya wateja watarajiwa!
Swali ambalo hukuelewa hili hapa. Ni muda mrefu sasa hizi mashine za kukoboa na kusaga zimebaki vilevile. Hakuna mabadiliko licha ya kukua kwa teknolojia. Tulianza na mashine za kusaga tu. Kuna jambo la hatari likatokea. Kulikabili ukaja mfumo wa kukoboa. Lengo si kupata unga mweupe. Wanaorudia dona kirahisi ni tatizo la nusu elimu. Leo sio mada yangu kwa Kijana Mpole.
Kwako ni hivi. Baada ya kukoboa unakuwa na mahindi ya makande/yaliyokobolewa na pumba. Tatizo ni kwamba kwenye pumba kuna mapepe, vumbi na kiini. Pumba haifai kwa chakula cha binadamu. Linganisha na kumenya yai ukatupa ganda na kiini cha yai. Unabaki na ile sehemu nyeupe tu. Sembe hiyo!
Licha ya kukua kwa teknolojia tumebaki na mashine zinazotoa sembe na pumba yenye kiini. Wapenzi wa dona wanarudia kiini. Hatari hawaioni na hawaijui. Kijana Mpole waokoe wasile na pumba. Kwenye pumba kuna hatari iliyokimbiwa kwa kukoboa. Wameirudia wajinga hao. Waokoe kwa kukoboa na kubakiza mahindi ya makande na kiini chake. Kuwepo tu ugomvi kati yako na wafuga mbuzi katoliki!
 
Ndg, hapa maomba maelezo kidogo kuhusu utofauti wa Hydraform na Interloking block na ipi bora zaidi? na je mnatoa mafunzo yoyote kuhusu matumizi ya hizo mashine juu ya ufwatuaji wa matofari?
 
Ndg, hapa maomba maelezo kidogo kuhusu utofauti wa Hydraform na Interloking block na ipi bora zaidi? na je mnatoa mafunzo yoyote kuhusu matumizi ya hizo mashine juu ya ufwatuaji wa matofari?
Utafundishwa kila kitu mkuu baada ya kuinunua mashine kwetu utofauti upo hasa katika size
Interlocking ni ndogo na wengi hupenda muonekano kama za kuchoma

Ubora zipo sawa


Angalia zilivyo hydrafoam mwanzo then interlock
 
Mkuu nashukuru kwa kuelewa na baadhi hujaelewa finishing sio uimara wa mashine pia kwenye sensor hilo nilijibu inawezekana hakuna mashine inayoweza kugoma sensor husika ni hitaji la kila mtu ukiwa serious karibu

PIA NIKURUDISHE NYUMA USISEME ILI HALI NCHI ZETU NDIO ZINAKUA SASA VITU VINGI TUNA IMPORT AU HUJUI HILO?

Pia nikueleze kama hujui mashine zipo automatic kila kitu inaosha yenyewe inapeleka kwenye kinu cha kukoboa then kusaga then packaging inawezekana mtu mmoja tu operator na
Hata sensor kupima unyevu au ujazo n.k inawezekana


Pia kuhusu technologia ukisema mashine zote zinatoa kila kitu sio hivyo labda ulizoshuhudia hapo katika kukoboa kuna vitu vingi nikikueleza ukaone mashine Tandale tumemtengenezea inakutolea ganda tu
Tunaita parazo sasa hilo ni hitaji la kila mtu
 
Kinu cha kupukuchua mahindi bila mashine napata kwa bei gani, wakati wa kupukuchua nitaunganisha PTO ya Trekta
Karibu sana itafuatana na size mkuu unayotaka nitafute tuongee 0763542515
 
Kaka ntumie picha za mixer ya mchanga,,,namaaansha vibrator na Bei take na mnapatikana WAP ntumie na namba zako
Karibu mkuu japo nimeziweka ila hizi hapa chini karibu sana tupo tabata
0763542515

Vibrator million mbili na laki tano tofali moja na tofali mbili 2.7m
Na mixer inaanzia 3.5m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…