Uzi maalumu; Machine zinazotengenezwa hapa nchini

Nahitaji mnitengenezee mashine ya kulimia yenye jembe 3.

Note: sio trekta
 
Vifunshio vyake vinapatikana wapi mkuu. Baada ya kumaliza kuzalisha ni vyema nikajua vifungashio wap hupatikana
 
Sijaona mashine za kukamua mafuta ya alizeti au zenyewe hamtengenezi?
 
Kudos Bingwa na Hongera VETA
Kwa definition ya mzungu, nyinyi ndio real Engineers
You come with concept, you design, and you make it, Bravo....
Nawatakia kazi njema.....
 
Unahitaji mashine ya kusaga Kokoto karibu sana kwetu 0763542515
 
Hujaelezea mashine ya kukausha dagaaa Wala Bei yake hujaweka. Pia hujaweka kabsa mashine ya kukamua alizeti.
Mashine ya kukausha dagaa ina uzi wake kabisa angalia nyuzi zangu zote ina maelezo ya kutosha na mtu tuliyemtengenezea kabisa ilienda mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…