Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Charty popote ulipo uwe na asbuh njema na kazi zako ziende mubashara .
 
But kwa ujumla Dada zangu wote wa umu nfani nawapenda sana Bwana awe nanyi kwa sku ya leo penye ugumu akapate kuwalegezea hili mambo yenu yakawe safi.
 
Ngoja niangalie missed call maana Nimeamka nikakimbilia jf
Asubuhi ni zawadi ambayo tunapaswa kujivunia.
Anza kwa kutabasamu na kila kitu/jambo zuri litafuatia.

Asubuhi njema cha mdeko
[emoji178] [emoji180] [emoji173] [emoji178] [emoji180] [emoji173] [emoji178] [emoji180]
[emoji257] [emoji257] [emoji257] [emoji257] [emoji257] [emoji257] [emoji257] [emoji257]
 
Ni jambo LA kumshukuru mungu kutupa Tena uzima kwa siku ya Leo Nikutakie asubuhi njema na Usisahau kwenda kusali
[emoji256] [emoji295]
[emoji256][emoji256]
[emoji256][emoji256][emoji256]
[emoji320] Have a
nice weekend!
 
Asubuhi njema wanamabadiriko wote popote mulipo, na sana sana Tundu Lissu. Mungu awe naw na familia yako yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…