Salamaaa vipi mdadaMambo niajeeeee
Mzigua90 ndo mwisho wa reli, uwe na siku njemaKwako Mwifwa
Wewe rafiki yangu wa ukweli kwenye shida na raha Nikutakie asubuhi njema iliyojaaa baraka tele na upendo mwingi.
Nakuombea uianze siku yako vema Ukiwa umejaa furaha tele .
Unajua Jinsi ninavyokumiss asubuhi nikiingia hapa Jf nikakosa hata notification yako.
Nakuombea uendelee na moyo huo huo rafiki yangu wa pekee wa hapa Jf.
Nikutakie asubuhi njema iliyojaaa amani, upendo, furaha, faraja, tabasamu, na kila aina ya vipepeo wanaopepea na maua mazuri kuipendezesha asubuhi yako.
Ni mm rafiki yako uliyenifundisha Jf.
Demiss (Cha mdeko)
Mm naomba umsalimie wifiii yangu kwa kukutunza kiasi hiki na kila unapopita wanakukodolea machooooAsubuhi njema dadaangu MBITIYAZA huko uliko najua bado umeweka ubavu wa kitandani baada ya siku muhimu kabisa ya wanawake duniani.Kwa uchovu huo naomba usindikizwe hii asubuhi njema na wafuatao
Demiss
Kapeace
Neema swai
na wengine wote wenye jinsia kama yako lakini mwisho kabisa akiwa ni mke wangu mpendwa Ma Good.
Nategemea kutoka kwako maana umekuja na mapyaSalama mkuu lete habari
NimekaribiaSafi karibun chimbo letu hili la asubuhi
Aaaaah namtafuta anko JoseverestNategemea kutoka kwako maana umekuja na mapya
Asante sana sana sana nitamtembelea next week kutokana na changamoto ya kazi hizi za kujenga viwanda niko nje na familia yangu kwa majukumu ya kazi lkn chondechonde nitakapofika tu kwanguuuuu,nitamwambia demiss anakusalimia sana.Mm naomba umsalimie wifiii yangu kwa kukutunza kiasi hiki na kila unapopita wanakukodolea machoooo
Uwe na asubuhi njemaaaa
Demiss ndo nan?Asante sana sana sana nitamtembelea next week kutokana na changamoto ya kazi hizi za kujenga viwanda niko nje na familia yangu kwa majukumu ya kazi lkn chondechonde nitakapofika tu kwanguuuuu,nitamwambia demiss anakusalimia sana.
Nitakuwepo kwaajili yakoNaiman nitakuwa nakuona hapa kila asubuhi mpaka pale utakapoamua kuikimbia jf
Huyu ni dadaangu/ndg yangu/kipenzi changu/mpendwa wangu ambaye hajulikani alipo lkn ananisaidia vitu vingi sana ikiwemo ushauri na furaha kutoka mtandao pendwa wa jf.Demiss ndo nan?
Swali la kwanza kutoka kwa wifiiiiii
Yupo ila kaacha kuwahi sitiAaaaah namtafuta anko Joseverest
good morning sweetie thank you for taking care of my thirstyGood morning love
OkYupo ila kaacha kuwahi siti