Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Kwako Mwifwa

Wewe rafiki yangu wa ukweli kwenye shida na raha Nikutakie asubuhi njema iliyojaaa baraka tele na upendo mwingi.

Nakuombea uianze siku yako vema Ukiwa umejaa furaha tele .
Unajua Jinsi ninavyokumiss asubuhi nikiingia hapa Jf nikakosa hata notification yako.

Nakuombea uendelee na moyo huo huo rafiki yangu wa pekee wa hapa Jf.

Nikutakie asubuhi njema iliyojaaa amani, upendo, furaha, faraja, tabasamu, na kila aina ya vipepeo wanaopepea na maua mazuri kuipendezesha asubuhi yako.

Ni mm rafiki yako uliyenifundisha Jf.

Demiss (Cha mdeko)
Mzigua90 ndo mwisho wa reli, uwe na siku njema
 
Asubuhi njema dadaangu MBITIYAZA huko uliko najua bado umeweka ubavu wa kitandani baada ya siku muhimu kabisa ya wanawake duniani.Kwa uchovu huo naomba usindikizwe hii asubuhi njema na wafuatao
Demiss
Kapeace
Neema swai
na wengine wote wenye jinsia kama yako lakini mwisho kabisa akiwa ni mke wangu mpendwa Ma Good.
Mm naomba umsalimie wifiii yangu kwa kukutunza kiasi hiki na kila unapopita wanakukodolea machoooo

Uwe na asubuhi njemaaaa
 
Mm naomba umsalimie wifiii yangu kwa kukutunza kiasi hiki na kila unapopita wanakukodolea machoooo

Uwe na asubuhi njemaaaa
Asante sana sana sana nitamtembelea next week kutokana na changamoto ya kazi hizi za kujenga viwanda niko nje na familia yangu kwa majukumu ya kazi lkn chondechonde nitakapofika tu kwanguuuuu,nitamwambia demiss anakusalimia sana.
 
Back
Top Bottom