Ewaaaa. Hayo ndio maneno mdogo wangu.Dada huu waraka nimeukopi halafu nimeubandika ukutani sebuleni kwetu tutakuwa tunausoma kila asubuhi[emoji5] [emoji5] [emoji5]
Asubuhi njemaAmina mkuu,.ukawe na siku njema yenye baraka na amani.
Asubuhi njema rafiki kipenzi.Asubuhi njema my best friend Nikutakie asubuhi njema iliyojaaa utulivu amani na upendo Nakuombea kwa mungu akulinde na majaribu na vikwazo vyote na uianze siku yako Ukiwa na furaha teleeee
Cha mdeko wako Achana na kichwa kichafu wivu unamsumbuaaa
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Amani na Upendo kwa wote!
Primary? Secondary? College? Unamaamisha wote?Asubuhi njema unayesoma...
Asubuhi njema elvee.Ooh! Pole mpenzi nilijua umeuona.
Na kwako pia Mr Mwifwa.Asubuhi njema
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Usku mwema slim Kama ujui mshana ni boss wangu kwenye mambo yetu ya kupaaa angani hawez Fanya chochoteUle wa kutakiana usiku mwema sikuwemo! Na huu wa asubuhi njema, pia simo! Hizi ni dalili mbaya sana hasa kwa mwezi kama huu ktk mwaka! Mkuu mshana jr fanya kushauri kitu hapa kabla mambo hayajaharibika!