Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Asubuhi njema my best friend Nikutakie asubuhi njema iliyojaaa utulivu amani na upendo Nakuombea kwa mungu akulinde na majaribu na vikwazo vyote na uianze siku yako Ukiwa na furaha teleeee

Cha mdeko wako Achana na kichwa kichafu wivu unamsumbuaaa
Asubuhi njema rafiki kipenzi.

Mungu akuongoze kwa kila jambo jema, akujalie afya njema na akuepushe na adha mbalimbali za kila siku.
 
Ule wa kutakiana usiku mwema sikuwemo! Na huu wa asubuhi njema, pia simo! Hizi ni dalili mbaya sana hasa kwa mwezi kama huu ktk mwaka! Mkuu mshana jr fanya kushauri kitu hapa kabla mambo hayajaharibika!
 
Asubuhi njema rafiki kipenzi.

Mungu akuongoze kwa kila jambo jema, akujalie afya njema na akuepushe na adha mbalimbali za kila siku.
Asante cha mdeko wako naumwa jino
 
Ule wa kutakiana usiku mwema sikuwemo! Na huu wa asubuhi njema, pia simo! Hizi ni dalili mbaya sana hasa kwa mwezi kama huu ktk mwaka! Mkuu mshana jr fanya kushauri kitu hapa kabla mambo hayajaharibika!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Usku mwema slim Kama ujui mshana ni boss wangu kwenye mambo yetu ya kupaaa angani hawez Fanya chochote
 
hearly nikutakie asubh njema iliojaa aman,upendo,furaha ,tabasamu na kila aina ya vipepeo wanaopepea na maua mazuri kuipendezesha asubuhi yako

Ni mm rafik yako uliyenifundisha Jf
 
Back
Top Bottom