Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Taratibu wakali hao kinalemutuz
Sawa usijaliUnitumie pm picha bila hivyo siwez kuamin
Mbona mm hujanitakia? Au rafiki yako ndo D tu?Ni jambo zuri kutakiana mema na baraka nakuombea katika mambo mazuri.
Njoo huku room kuna ujumbe wako
Nitakutakia kesho asubuhi, usijali bana popo bin bundi mwenzangu.Mbona mm hujanitakia? Au rafiki yako ndo D tu?
On mekusoma na nimekusamehe kwa roho nyeupe kbsa. Unajua popoz bin bundi hawakosaniNitakutakia kesho asubuhi, usijali bana popo bin bundi mwenzangu.
Si unajua tena huu uzi ulikuwa suprise kwangu ndio maana sijaweza kukumbuka watu wote.
Njoo hukuOn mekusoma na nimekusamehe kwa roho nyeupe kbsa. Unajua popoz bin bundi hawakosani
Kaka yupi tenas best?
Ingia kwenye huo uzi kuna mdada kazimikia mtuKaka yupi tenas best?
Na una fall in love wapi?
Ingia kwenye huo uzi kuna mdada kazimikia mtu
Nilikutag kabisa, kumbe hujaiona notification..Nitaq bas jaman
ANilikutag kabisa, kumbe hujaiona notification..
Nimekuwekea link hapo juu ifuate utauona
Na wewe pia mkuuAsubuh njema kwako......
Asubuhi njema cha Mdeko[emoji173] [emoji173] [emoji180] [emoji180]Poyeeee