Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Ngoja nimwagee sera kabla kale kazee hakajaamuka[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Salama bundi mwenzangu, nimekuhamu ila nitakumiss mida yetu.

Nakupendaga pia bundi.

Ila hizi sera usimwambie Dingichild, sawaa!!!
Yule kizee asipite hapaaa
 
Back
Top Bottom