Uzi maalumu: Rwanda wanavyotumia wadada warembo katika uspy wao


Hivi wale Watanzania 13 waliodaiwa kuwa walikuwa ni ' Watafiti ' wa walikamatwa huko nchini Malawi wakidaiwa kufanya ' Spying ' waliachiwa au wapo ndani mpaka leo? Hivi kuna nchi barani Afrika ambayo imepenyeza mno ' Manjagu / Majasusi ' wake katika nchi nyingi tena za jirani yetu kabisa kama Tanzania? Leo kuna lipi la ajabu Wewe kuona Wanawake Warembo / Wanyange wa Kinyarwanda wanaifanyia ' Unjagu / Ujasusi ' Tanzania wakati hata Wewe Tanzania umepenyeza Watu wako tena Wanaume wengi wakijifanya Madereva wa Daladala na Wanawake wengi wakiwa ' Wasusi ' na wengi wao wapo mji Mkuu wa Kigali? Ukilijua hili basi jua mwenzako analijua lile na naomba niishie hapa tafadhali.
 
Tunaiogopa tu Rwanda bila sababu. Wale ni wachanga sana kwetu. Mathalani tuanzishe tu rigwaride is sirias, yaani wataomba poo ndani ya lisaa. Uliza m23 walichofanywa.

Ila kwa upande mwingine wamejipenyeza SANA kwenye nchi mbalimbali za Afrika. Mfano Zambia, Malawi, Tanzania, Uganda n.k. na kuna wengine wachache wamefanikiwa kuolewa na watu wenye hadhi ya juu katika jamii kama wanasiasa, wafanyabiashara, viongozi wa dini n.k.

Ila mimi sijaona madhara ya mpango huo.
 
Duuuuh mkuu hapa naomba uendelee kunijuza mie nmezaliwa mwk 2000 cjui mambo hayaa
 
hakuna kitu km hicho, labda kaa marekan ila kirwanda??!! uongo mtupu
Kila nchi ina Sera zake katika swala la usalama na pia utowaji wake wa taarifa katika swala la kiusalama sis kama tz tupo waz kutokana inch yetu ina wahamiaj weng haramu na wengne wako katika sehemu kubwa kubwa tu na hii ya kujiolea ovyo ovyo ni chanzo ukienda nch za wenzetu wewe kila wakati unafuatiliwa msiona mko salama mkienda ulaya hapana hamko salama muda wote under tracking na mashirika ya ujasusi.
Pind unapoingia tu teyar uko monitoring
 
hakuna kitu km hicho, labda kaa marekan ila kirwanda??!! uongo mtupu
Watu wanawaoverate sana hawa Wanyarwanda...Kila siku nasema na nitaendelea kusema hao Wanyarwadwa hawana chochote cha kututisha....watarukaruka weee..mwisho wa siku ni sifuri tu....We are too big for them....Hawana threat yoyote kwetu si kiuchumi ama kiusalama.....Competitor wetu ni Kenya tu...tena nae mambo ya kiuchumi....Ndo maana threads nyingi humu kuhusu Wakenya huwa tunabishana nao kuhusu masuala ya kiuchumi....sababu we can compete.....Rwanda anaweza pambana na Burundi huko...au Kongo sababu kuna waasi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…