Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
[emoji106] [emoji120]Watu wanawaoverate sana hawa Wanyarwanda...Kila siku nasema na nitaendelea kusema hao Wanyarwadwa hawana chochote cha kututisha....watarukaruka weee..mwisho wa siku ni sifuri tu....We are too big for them....Hawana threat yoyote kwetu si kiuchumi ama kiusalama.....Competitor wetu ni Kenya tu...tena nae mambo ya kiuchumi....Ndo maana threads nyingi humu kuhusu Wakenya huwa tunabishana nao kuhusu masuala ya kiuchumi....sababu we can compete.....Rwanda anaweza pambana na Burundi huko...au Kongo sababu kuna waasi....