Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
[emoji106] [emoji120]Watu wanawaoverate sana hawa Wanyarwanda...Kila siku nasema na nitaendelea kusema hao Wanyarwadwa hawana chochote cha kututisha....watarukaruka weee..mwisho wa siku ni sifuri tu....We are too big for them....Hawana threat yoyote kwetu si kiuchumi ama kiusalama.....Competitor wetu ni Kenya tu...tena nae mambo ya kiuchumi....Ndo maana threads nyingi humu kuhusu Wakenya huwa tunabishana nao kuhusu masuala ya kiuchumi....sababu we can compete.....Rwanda anaweza pambana na Burundi huko...au Kongo sababu kuna waasi....
Piracy is a criminal Offence Mkuu. Mwandishi ni Leo Bassu Mabala, Jina la Publisher nitakuangalizia Mkuu. worry not .Mkuu kimeandikwa na nani? Tukikosa fanya piracy tuu piga picha vizuri au kiscan tupia humu tuone wanasemaje....
We are too big kwao, ila sisi hatuko strategic kama wao.Watu wanawaoverate sana hawa Wanyarwanda...Kila siku nasema na nitaendelea kusema hao Wanyarwadwa hawana chochote cha kututisha....watarukaruka weee..mwisho wa siku ni sifuri tu....We are too big for them....Hawana threat yoyote kwetu si kiuchumi ama kiusalama.....Competitor wetu ni Kenya tu...tena nae mambo ya kiuchumi....Ndo maana threads nyingi humu kuhusu Wakenya huwa tunabishana nao kuhusu masuala ya kiuchumi....sababu we can compete.....Rwanda anaweza pambana na Burundi huko...au Kongo sababu kuna waasi....
[emoji106]Wea re too big kwao, ila sisi hatuko strategic kama wao.
Nakushauri, siwa-underate Watusi hata kidogo. Ni watu hatari sana, wako too strategic hawa watu. Mipango yao haina tofauti na ya Waisrael. Leo ni Kuongoza Afica Nzima.
Pole sana kijana kwa kulishwa propaganda labda kama na wewe ni mmoja wao unataka kutulisha great thinker kwani wewe kabila ganiWe are too big kwao, ila sisi hatuko strategic kama wao.
Nakushauri, usiwa-underate Watusi hata kidogo. Ni watu hatari sana, wako too strategic hawa watu. Mipango yao haina tofauti na ya Waisrael. Lengo ni Kuongoza Afica Nzima.
Wanyarwada hawana danger yoyote hapa tz, wako katika self survival in the midist of many enemies.....mna over rate them hawana lolote wala chochote ila tu hawapotizi asili yao... mie nimeishi nao, nimesoma nao mbona maisha yanatupiga wote vile vile.. wangekua on mission wangekua na development zaidi yetu.....stop intimidating people..wao ni watu wa kawaida kweli wengine wanatafuta waumme wakweli kweli muache ubaguzi don't think kila mnyarwada kuwa "white hen"Wea re too big kwao, ila sisi hatuko strategic kama wao.
Nakushauri, siwa-underate Watusi hata kidogo. Ni watu hatari sana, wako too strategic hawa watu. Mipango yao haina tofauti na ya Waisrael. Leo ni Kuongoza Afica Nzima.
Mbinu hii ilitumiwa na Wafilisti dhidi ya waisrael.Hiyo mbinu hata USSR alitumia ila mwisho wake tuliuuon au wengin kuhadithiwa, time is the best FRIEND
Siku hizi balimi sio mkojo mkuu twende zetu.AY KATOKA JUZI KUOA RWANDA.JE WANA AJENDA GANI NA MUZIKI WETU?AFU YULE NDIKUMANA NAE SI ALIMUOA UWOYA???
NGOJA NIMALIZIE BALIMI YANGU KWANZA
Pole sana kijana kwa kulishwa propaganda labda kama na wewe ni mmoja wao unataka kutulisha great thinker kwani wewe kabila gani
You must be one of them. Kwa hakika, na inawezekana umejibadili kabila na kujiita Mnyambo.Wanyarwada hawana danger yoyote hapa tz, wako katika self survival in the midist of many enemies.....mna over rate them hawana lolote wala chochote ila tu hawapotizi asili yao... mie nimeishi nao, nimesoma nao mbona maisha yanatupiga wote vile vile.. wangekua on mission wangekua na development zaidi yetu.....stop intimidating people..wao ni watu wa kawaida kweli wengine wanatafuta waumme wakweli kweli muache ubaguzi don't think kila mnyarwada kuwa "white hen"