Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nashangazwa sana na wale wanawake wa ukanda wa Pwani wanaosafiri na watoto watatu hadi watano kwenye basi afu wanataka wasafiri wengine wawasaidie kuwapakata. Ukisafiri na wanawake wa Pwani siku za wikendi utajuta kuwafahamu.Roho mbaya ndio maisha mkuu haiwezekani utoke na mzigo wako nyumbani alafu uje unibebeshe mzigo wako, hiyo ni kero mkuu.
Afu unakuta safari ndefu dar tu Mtwara au DSM to Kigoma anakata ticket Moja na Yuko na watoto watu.Mimi nashangazwa sana na wale wanawake wa ukanda wa Pwani wanaosafiri na watoto watatu hadi watano kwenye basi afu wanataka wasafiri wengine wawasaidie kuwapakata. Ukisafiri na wanawake wa Pwani siku za wikendi utajuta kuwafahamu.
Unacho shangaa Nini? Kusafiri na watoto haitokei mara nyingi , ukiona limetokea ujue Kuna sababu za lazimaa.Mimi nashangazwa sana na wale wanawake wa ukanda wa Pwani wanaosafiri na watoto watatu hadi watano kwenye basi afu wanataka wasafiri wengine wawasaidie kuwapakata. Ukisafiri na wanawake wa Pwani siku za wikendi utajuta kuwafahamu.
Acha kutetea ujinga wewe.Watoto wako wewe tukusaidie sisi kuwapakata?jifunzeni kuzaa kwa mpango sio unapanua tuu upaja senzi ....Unacho shangaa Nini? Kusafiri na watoto haitokei mara nyingi , ukiona limetokea ujue Kuna sababu za lazimaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi kuna wale unakuta yupo kwenye halaiki anaingiza mkono kwenye nyeti anajikuna weee as if is not enough ananusa mkono then anaendelea na maongezi [emoji849][emoji849][emoji57]Au wale wanachomeka kijiti cha toothpick mdomoni hadi usipokuwa makini wanaweza kukutoboa macho. Na wengine huenda mbali zaidi hadi kuchomeka njiti hizi kwenye nywele za kichwani.
Acha kupayuka. Ukizaa kwa mpango ndiyo hutosafiri na wanao? Kama huwezi dumisha upendo kwa watoto ,acha kupanda usafiri wa umma.Acha kutetea ujinga wewe.Watoto wako wewe tukusaidie sisi kuwapakata?jifunzeni kuzaa kwa mpango sio unapanua tuu upaja senzi ....
Ni Ushamba Fulani. Unataka Watu wajue unaenda kuchakata Mbususu, kama Mkuu alivyoeleza Hapo juu.Nimemkumbuka Wambura Mtani wa Redio free Afrika.
Naongeza yangu
Hii mambo ya kuongea na simu katikati ya watu tena simu ndefu tunakusikiliza wewe tu. Yani tuko kwe daladala au foleni unapokea au kupiga simu unaongea wew tu. Ustaarabu ni kupokea kama simu unaona ni ndefu unamwambia sorry nitakupigia baadaye
Au akikosa msamaria wa kuwapakata huamua kuwabananisha kwenye kiti kimoja. Ukikaa naye seat moja lazima utalazimika kuwapakata utake usitake maana hiyo kero watakayokupa utatamani uwaachie seat usimame.Afu unakuta safari ndefu dar tu Mtwara au DSM to Kigoma anakata ticket Moja na Yuko na watoto watu.
Wewe hujawahi kusafiri basi moja na wenyeji wa ukanda wa Pwani. Kila wakati mama wa kiPwani akisafiri lazima asafiri na watoto wote wanne kwa mpigo, hasa siku za wikendi. Hebu fanya utafiti utakuja kunishukuru mkuu.Unacho shangaa Nini? Kusafiri na watoto haitokei mara nyingi , ukiona limetokea ujue Kuna sababu za lazimaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu wanatesa sana utakojolewa,utatapikiwa utaishi Kwa shida yaan. Inabid makondakta wawe wakali kidogo ukiwa na mtoto zaidi ya mmoja umlipie Siti kabisaAu akikosa msamaria wa kuwapakata huamua kuwabananisha kwenye kiti kimoja. Ukikaa naye seat moja lazima utalazimika kuwapakata utake usitake maana hiyo kero watakayokupa utatamani uwaachie seat usimame.
Kweli kabisa mkuu; sio kwa kero hii tunayopewa na hawa wazaramo na wadengereko wa Dar.Mwamba
Hawa watu wanatesa sana utakojolewa,utatapikiwa utaishi Kwa shida yaan. Inabid makondakta wawe wakali kidogo ukiwa na mtoto zaidi ya mmoja umlipie Siti kabisa
Unakuta mtu kala supu yake ya utumbo halafu njiti ya kujichojoa ameiuma mdomoni anatembea nayo hadi kwenye daladala na kuna wengine wanachukua njiti zaidi ya moja nyingine wanazichomeka kwenye nywele na wanajiona wako sawa. Huu ni ushamba wa kupindukia.Naandika uzi huu kwa kumuunga mkono mtangazaji mkongwe (mstaafu) ndugu Leonard Mambo Mbotela aliyekuwa akitangazia Voice of Kenya (VoK) na baadaye Kenya Broadcasting Corporation (KBC) katika kipindi maarufu kilichovuma wakati huo kwa jina la “Je huu ni uungwana?” Katika kipindi hicho, Leonard alikuwa akiangazia tabia mbaya katika jamii na kuwaasa wanajamii kuachana nazo.
Sitaki kuwachosha na maneno mengi; ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja. Kuna baadhi ya tabia za watu zinakera na kusikitisha. Juzi nilikuwa nasafiri kwenye basi la abiria kutoka Kawe kwenda Mbagala. Ndani ya basi hilo pia alipanda kijana barobaro mwenye umri wa makamo. Tulipofika Magomeni yule kijana akaanza kuongea na mpenzi wake kwenye simu kwa sauti kubwa bila aibu akimjulisha kuwa amepanda basi lakini kuna traffic jam hivyo anaweza kuchelewa kufika. “Nisubiri nakuja mpenzi wangu, hata mimi nina hamu sana, nipo kwenye foleni”. Alisikika akiongea kimahaba kijana wa watu. Kitendo hiki kiliwashangaza abiria wakamgeukia kumtazama na baadhi walisikika wakisonya hapa na pale. Kisha akakata simu na kukaa kimya.
Tulipofika mbele kidogo akampigia simu tena huyo mpenzi wake. Safari hii akiuliza: “Umechukua chumba namba ngapi? Yaani hapa nina genye balaa, nikifika tu kazi inaanza. Kabla hajamaliza kuongea, abiria wote wakaguna: “Aaaaa! “Maneno gani haya unaongea kwenye basi la abiria?” Alisikika akilalamika abiria mmoja aliyefurwa kwa hasira. Kuanzia hapo abiria wote wakaanza kumsakama kwa maneno makali. Walimsema mpaka akili zikamrudia. Hadi anashuka kituo cha Keko, jamaa yupo kimya kama amemwagiwa maji ya barafu. Na hata baada ya jamaa kushuka bado waliendelea kumsema hadi niliposhuka kituo cha Mtongani nikawaacha wakiendelea kumjadili.
Kwa kweli kuna baadhi ya watu hawana kaba ya ulimi na wala hawachagui mahali pa kuongelea mambo yao. Wanajiropokea tu kama wehu! Hili la kuropoka kwenye vyombo vya usafiri linashuhudiwa na watu wengi ila tu watu hawapendi kuingilia ujinga wa awatu wengine hadi pale tabia hii inapokuwa imevuka mipaka (kama ilivyotekea kwa huyu kijana).
Tabia nyingine inayokera ni pale mtu anapoenda dukani kununua sigara kisha anaiwasha na kuanza kuivuta na kupuliza moshi pale pale bila kujali kama watu waliomzunguka ni wavutaji wenzake au la. Na kibaya zaidi kuna baadhi huwatuma watoto kuwanunulia sigara na kuwaagiza waiwashe kabisa. Hii sio akili bali ni matope.
View attachment 2415814
Kuvuta sigara hadharani ni moja ya tabia zinazokera(Chanzo:Mtandao)
Nawe ndugu mwanaJF kuna baadhi ya tabia ambazo hupendezwi nazo. Nimefungua huu uzi maalumu ili kila mtu atupie tabia ambayo anaona haifai katika jamii ingawa inatendwa na watu kila kukicha. Kwa kufanya hivi, bila shaka wahusika wataacha tabia hizi chafu na kuanza kusihi maisha yanayoipendeza jamii.
Karibuni.