Uzi maalumu: Tabia zinazokera katika jamii

Roho mbaya ndio maisha mkuu haiwezekani utoke na mzigo wako nyumbani alafu uje unibebeshe mzigo wako, hiyo ni kero mkuu.
Mimi nashangazwa sana na wale wanawake wa ukanda wa Pwani wanaosafiri na watoto watatu hadi watano kwenye basi afu wanataka wasafiri wengine wawasaidie kuwapakata. Ukisafiri na wanawake wa Pwani siku za wikendi utajuta kuwafahamu.
 
Afu unakuta safari ndefu dar tu Mtwara au DSM to Kigoma anakata ticket Moja na Yuko na watoto watu.
 
Unacho shangaa Nini? Kusafiri na watoto haitokei mara nyingi , ukiona limetokea ujue Kuna sababu za lazimaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au wale wanachomeka kijiti cha toothpick mdomoni hadi usipokuwa makini wanaweza kukutoboa macho. Na wengine huenda mbali zaidi hadi kuchomeka njiti hizi kwenye nywele za kichwani.
Mi kuna wale unakuta yupo kwenye halaiki anaingiza mkono kwenye nyeti anajikuna weee as if is not enough ananusa mkono then anaendelea na maongezi [emoji849][emoji849][emoji57]
 
Kuna hili la Wanawake kufua Nguo zao za ndani kisha wanaanika hukohuko ndani badala ya kuanika nje tuone

Hamjui jinsi gani mnakera watu
 
Upo zako kwenye basi umetulia siti ya dirishani.Mara abiria mwenzio pembeni anasimama na kununua mahindi ya kuchemshwa,mayai na maziwa mtindi.Hapo sasa!
 
Hapo umenigusa. Unakuta jitu linatafuna ma bg g. Muda wote kama mbuzi....
 
Ni Ushamba Fulani. Unataka Watu wajue unaenda kuchakata Mbususu, kama Mkuu alivyoeleza Hapo juu.
Huyo Mshamba hakutemea kumpats huyo Bibi. Leo kampata anataka Wote Tujue. Ushamba TU[emoji35]!
 
Afu unakuta safari ndefu dar tu Mtwara au DSM to Kigoma anakata ticket Moja na Yuko na watoto watu.
Au akikosa msamaria wa kuwapakata huamua kuwabananisha kwenye kiti kimoja. Ukikaa naye seat moja lazima utalazimika kuwapakata utake usitake maana hiyo kero watakayokupa utatamani uwaachie seat usimame.
 
Unacho shangaa Nini? Kusafiri na watoto haitokei mara nyingi , ukiona limetokea ujue Kuna sababu za lazimaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hujawahi kusafiri basi moja na wenyeji wa ukanda wa Pwani. Kila wakati mama wa kiPwani akisafiri lazima asafiri na watoto wote wanne kwa mpigo, hasa siku za wikendi. Hebu fanya utafiti utakuja kunishukuru mkuu.
 
Sina sababu ya kukubishia, lakini nataka nikwambie , kama Bado unatumia huu usafiri wa kina mwa J ndara ndefu.
Huna sababu yakukerwa na wale wanao safiri nawatoto wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamba
Au akikosa msamaria wa kuwapakata huamua kuwabananisha kwenye kiti kimoja. Ukikaa naye seat moja lazima utalazimika kuwapakata utake usitake maana hiyo kero watakayokupa utatamani uwaachie seat usimame.
Hawa watu wanatesa sana utakojolewa,utatapikiwa utaishi Kwa shida yaan. Inabid makondakta wawe wakali kidogo ukiwa na mtoto zaidi ya mmoja umlipie Siti kabisa
 
Mwamba

Hawa watu wanatesa sana utakojolewa,utatapikiwa utaishi Kwa shida yaan. Inabid makondakta wawe wakali kidogo ukiwa na mtoto zaidi ya mmoja umlipie Siti kabisa
Kweli kabisa mkuu; sio kwa kero hii tunayopewa na hawa wazaramo na wadengereko wa Dar.
 
Unakuta mtu kala supu yake ya utumbo halafu njiti ya kujichojoa ameiuma mdomoni anatembea nayo hadi kwenye daladala na kuna wengine wanachukua njiti zaidi ya moja nyingine wanazichomeka kwenye nywele na wanajiona wako sawa. Huu ni ushamba wa kupindukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…