Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
EPSON L3050 (inkpad is at the end of its service life).
Wasalaam wakuu,
Uzi huu utumike kupashana habari kuhusu epson printers, iwe ushauri, au kutatua matatizo mbalimbali ya hizi printer, basi taarifa zake zikusanyike hapa kuwasaidia watumiaji wengi na wenye kuhitaji kununua wanaweza kujifunza mambo mbalimbali kupitia huu uzi.
Karibuni wataalam na watumiaji wote tuyajenge.
Ukipata jibu nitagEPSON L3050 (inkpad is at the end of its service life).
Nahitaji msaada wa kureset hiyo printer wakuu.
Kwa wataalam na mafundi nina shida moja, kuna hii printer Epson L805 ina tatizo la horizontal banding au lugha ingine inaprint ila kuna vistari vidogo vidogo hutokea, nilifanya nozzle cleaning ila haikusaidia kitu, nikaja kuangalia encoder strip ilikua imechafuka na wino nikaja kununua mpya na kubadili ila tatizo halijaisha.
Msaada kipi cha ziada nitatue tatizo hili wakuu.
View attachment 1101559View attachment 1101562
380,000/= ?!?!Mkuu hio mashine nilikuwa nayo ikaanza wenge nilipoenda kwa fundi akasema zijisha print page 2000 mpk 2500 huwa zinaanzaga kufa chakufanya ni kuchukuwa mpya tu maana kuitengeneza ni 250000 na mpya nilinunua 380,000 natarajia nunua nyingine mwezi wa 1 mwakani
380,000/= ?!?!
Mkuu,
Unaijua EPSON L805 au unamaanisha L220?
Kwa hiyo bei huwezi pata L805 Bongo wala Nairobi,
Labda Guanzhou.
Mmmh hiyo ulipata bei nzuri kiongozi, L805 mpya zinacheza 690,000 mpaka 800,000 kutegemea na eneo, yangu nilipeleka kwa fundi print head ilikua ya kubadilisha, na gharama ilikua 280,000/= niliona ujinga nikaamua kununua mpya 690,000/=Mkuu hio mashine nilikuwa nayo ikaanza wenge nilipoenda kwa fundi akasema zijisha print page 2000 mpk 2500 huwa zinaanzaga kufa chakufanya ni kuchukuwa mpya tu maana kuitengeneza ni 250000 na mpya nilinunua 380,000 natarajia nunua nyingine mwezi wa 1 mwakani
Labda alinunua used.380,000/= ?!?!
Mkuu,
Unaijua EPSON L805 au unamaanisha L220?
Kwa hiyo bei huwezi pata L805 Bongo wala Nairobi,
Labda Guanzhou.
Hiyo andaa pesa, nilishaitafuta sana kipindi cha nyuma sikuipata kila aliekua nayo alikua anataka nilipie.EPSON L3050 (inkpad is at the end of its service life).
Nahitaji msaada wa kureset hiyo printer wakuu.
Waweza kunisaidia kwa Sh. ngapi mkuu?Hiyo andaa pesa, nilishaitafuta sana kipindi cha nyuma sikuipata kila aliekua nayo alikua anataka nilipie.
Mkuu,Hiyo andaa pesa, nilishaitafuta sana kipindi cha nyuma sikuipata kila aliekua nayo alikua anataka nilipie.
Ukijibiwa unitag.Wakuu nahitaji kununua printer ya epson inayoweza kuprint, scan na copy kwa ajili ya stationery yangu ndogo...nina photocopy mashine kwa hiyo hii itakuwa ya kuprint coloured, ni model gani nzuri ambayo pia sio garama sana
Nunua Epson L382 (400,000/=)Wakuu nahitaji kununua printer ya epson inayoweza kuprint, scan na copy kwa ajili ya stationery yangu ndogo...nina photocopy mashine kwa hiyo hii itakuwa ya kuprint coloured, ni model gani nzuri ambayo pia sio garama sana
Epson L382 mpaka picha inaprint, bei kuanzia 380kWakuu nahitaji kununua printer ya epson inayoweza kuprint, scan na copy kwa ajili ya stationery yangu ndogo...nina photocopy mashine kwa hiyo hii itakuwa ya kuprint coloured, ni model gani nzuri ambayo pia sio garama sana
Hilo sio tatizo mkuu,Espon printer L220,inaandika check ink level,wakati wino upo.Tatizo ni nini?
Usisahau kuweka external waste ink tank kama bado hujaweka.EPSON L3050 (inkpad is at the end of its service life).
Nahitaji msaada wa kureset hiyo printer wakuu.
Hii inawekwaje?Usisahau kuweka external waste ink tank kama bado hujaweka.
View attachment 1218940
Hii inawekwaje?