Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,972
Kama uko Arusha ntakuunganisha na fundi wangu. Anatengeneza printer na photocopier zote.Yaani niko discouraged sana na mafundi wa hapa mjini .sijawahi kumpata fundi wa printer akafanya kazi 100% ikafaa.Nina mashine yangu Ricoh mpaka Leo nimeiweka mafundi zaidi ya watatu wanakuja nawalipa lakini mwisho wa siku sipati solution zaidi ya kupoteza pesa
Ndo maana nilivyoona umeongea technical logical nikakukubali
Jamaa anabomoa printer na kuipanga upya inakua sawa.