Uzi Maalumu wa EPSON printers, Ushauri, matatizo, maelekezo, matengenezo nk

Kama uko Arusha ntakuunganisha na fundi wangu. Anatengeneza printer na photocopier zote.
Jamaa anabomoa printer na kuipanga upya inakua sawa.
 
Naomba kuelimishwa kuhusu epson m100. Upatikanaji wa wino, matatizo yake na mazuri yake
 
Naungana na wadau wa uzi huu. Nakumbuka kwenye 2008-2013 (wakati huo niko shule) nilikuwa naona watu wanavyohangaika kupata solution za epson inkpad reset. Nabmafundi wa kibongo walivyo, unaambiwa nenda Nairobi. Baada ya mud nikajaribu kutafiti nikaona shida ilipo. Mteja wa kwanza alitokea humu jf ila nilifail kumsaidia maana na mimi nilikuwa third-party. Baada ya hapo nikakza msuli. Hatimaye leo hii hili tatizo hata itoke mashine mpya, natibu vizuuuri. Gharama kama alivyotangulia mdau hapo juu inatofautiana kwa kila model. Ukihitaji adjustment kutoka kwetu, tunakufanyia kazi nzima kupitia team viewer. Gharama ni nafuu na salama zaidi. Karibuni
 

Epson L382 kama unayo
 
Naomba ushauri kuhusu Epson m100. Ni single colour (black)...napenda kufahamu matatizo yake
 
Naomba kuelimishwa kuhusu epson m100. Upatikanaji wa wino, matatizo yake na mazuri yake
T774 code ya wino, ukiisha nenda ulizia wino namba hiyo, kuhusu matatizo ni swali gumu kidogo unaweza ukawa na printer tatu za aina moja ila watumiaji tofauti, na zinaweza kupata shida tofauti kulingana na utumizi.
Kama umenunua mpya usiwe na shaka, si umepewa waranty card.
 
Hapo kwenye teamviewer ni changamoto, wengi unakuta pc hazina access ya internet, halafu teamviewer yenyewe tena unaanza maelekezo kibao kumwelewesha 😂.
 
Wakuu habari Nina Epson L 800 nilimuazima mdogo wangu apigie Kazi Sasa akasema inashida Ila nilivoenda kuitizama nimegundua panya wametafuna mikanda ya printer ambayo ilikua inasaidia kubeba taarifa za wino ili picha iweze kuchapwa niwapi nitapata msaada wa uhakika kufix tatizo langu? Aisee panya Ni waharibifu [emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda Machinga Complex huwezi kukosa.
 
Naomba ushauri hii Canon inauzwa kwenye kampuni moja nilienda kibiashara ni used naweza kupata ngapi hapo kama nikiituma huko?
Samahani lakini kama nimedandia kwa mbele


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kwa matumizi ya nyumbani naweza kupata kwa shilingi ngapi mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa matumizi ya nyumbani naweza kupata kwa shilingi ngapi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unataka kusave gharama nunua Epson zipo kuanzia laki 4 kwa mpya, wino za mitungi utatumia kwa muda mrefu.

Kuna Hp pia ni nafuu zinauzwa kuanzia 120000 ila wino zake ni gharama na pia zina ujazo mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…