Uzi maalumu wa kuelezea uongo kutoka kwa waganga

Maisha magumu na ukosefu wa elimu bora ndo huleta mambo ya uganga na uchawi kwenye kichwa cha mtu , lakini kiuhalisia hivo vitu havipo,ni imagination ya kutafuta faraja feki.
 
๐ˆ๐ง๐š๐ญ๐ž๐ ๐ž๐ฆ๐ž๐š ๐ฎ๐ฅ๐ข๐ž๐ง๐๐š ๐ค๐ฐ๐š ๐ง๐š๐ง๐ข
 
bwana wee waganga wapo. mimi nilkuwa siamini haya mambo. Dah Tanga nikiboko aisee. kuna mwamba alikuwa kampuni flani siwajua vijana akapiga hela ili alebata na kuvimba mjini. Jamaa wakashutka mchezo wakamla barua ya kufukuzwa kazi. Jamaa anajamaa ake Kushoto akamwambia njoo na hiyo barua, akampeleka kwa mzee mmoja aisee baada ya wiki jamaa anapigiwa cm arudi kazini mpaka leo hii jamaa yupo anadunda kazini. Kuna mzee yeye kazi yake ni kukupiga shakizi yaaani unapigwa kitu unaenda jiua. Kuna mwingine yupo kama waenda bumbuli naskia huyo na balaaaa na ahitaji pesa nyingi. Achaneni na waganga wa mjini hao matapeli na kuwala madada wanaoenda kuwaloga mabwana zao

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Hapo kwenye kutupiwa kitu kujiua ilimtokea brother angu mwalimu alichapa mtoto wa familia moja ukanda huo huo mtoto wa familia hiyo huwa hawaguswi brother angu mwalimu akakutwa amejinyonga
 
Mbona unajishitukia mwenyewe sasa?
Tukisema kuwa wewe ndiye yule yule aliyefanikisha kwa njia ya mganga, tutakuwa tumekosea?
 
Maisha magumu na ukosefu wa elimu bora ndo huleta mambo ya uganga na uchawi kwenye kichwa cha mtu , lakini kiuhalisia hivo vitu havipo,ni imagination ya kutafuta faraja feki.
Kuna vizika wazima unaongea from know where ushawai tembelea kigoma na wilaya zake ??! Unajua kitu kinaitwa kamchape
Ie. Unajua miti inazungumza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ