Uzi maalumu wa kufarijiana kwa wale wote wanaopita kwenye hali ngumu za kimaisha

Uzi maalumu wa kufarijiana kwa wale wote wanaopita kwenye hali ngumu za kimaisha

N

Na hatutakiwi kuogopa kifo maana ndio njia ya kwenda hukooooooooo. Kifo ni lazima so Usiogope Ujapopita katika bonde la uvuli wa mauti, Mungu hatakuacha atakuwa pamoja na wewe. Jiandae kufa.
kifo hakitakiwi kuogope ila je unakufa umefanya mangapi mema ya kumridhisha mungu wako kuepuka adhabu yake kali ,usije fanya wenye magumu wajinyonge mkuu
 
Nimeshaona message zako nyingi kuhusu Mahondaw lakini nina wasiwasi kama yeye anakupenda umpendavyo, its none of my business ila mmmh umezidi banaaaa.... nyie ndio mnaojinyongaga siku mkipigwa kibuti
Mbona unamkatisha tamaa, kinyume na uzi uliouanzisha?
 
Usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu.

Tazama wote walioona hasira juu yako watataharika na kufadhaika; watu washindanao nawe watakuwa si kitu, na kuangamia.

Kwa maana mimi, Bwana Mungu wako nitakushika mokono wake wa kuume, nikikuambia, Usiogope; mimi nitakusaidia@.

Muianze wekend salama wapendwa BlessedHope JICHO TAI Joseverest kampelewele miminimkulimaakachekasana Mr Miller Perfectz Smart911 Translator Biobenga cyrustheruler
Ubarikiwe ila usisahau kuliombea taifa ili acacia wamwage mihela tuache kula kauzu hapa Tanzania.
 
Nimeshaona message zako nyingi kuhusu Mahondaw lakini nina wasiwasi kama yeye anakupenda umpendavyo, its none of my business ila mmmh umezidi banaaaa.... nyie ndio mnaojinyongaga siku mkipigwa kibuti
Hajui hata sie tunampenda mahondaw ili tuonje katerero alojifunza huko kagera. Luv u Madame usimalize utamu wote kwa Smart911
 
Nimeshaona message zako nyingi kuhusu Mahondaw lakini nina wasiwasi kama yeye anakupenda umpendavyo, its none of my business ila mmmh umezidi banaaaa.... nyie ndio mnaojinyongaga siku mkipigwa kibuti

I love Smart911 more than you can imagine.. He's my everything everything yan.. Without him am nothing nothing at all.....,
 
Usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu.

Tazama wote walioona hasira juu yako watataharika na kufadhaika; watu washindanao nawe watakuwa si kitu, na kuangamia.

Kwa maana mimi, Bwana Mungu wako nitakushika mokono wake wa kuume, nikikuambia, Usiogope; mimi nitakusaidia@.

Muianze wekend salama wapendwa BlessedHope JICHO TAI Joseverest kampelewele miminimkulimaakachekasana Mr Miller Perfectz Smart911 Translator Biobenga cyrustheruler
Pamoja na mahondaw wangu...
 
Mi nasema sikuachiii
Nakaba mpaka penatiiiii
Kwa utamu wa nanasii
Naufyonza mpaka BasiiBasiiii

Wenye kusema waseme wala tusijalii
Kwa hayo yako masebene wala sichezi mbalii...

I love you so much Smart911 wangu
mahondaw wangu...

Sitamani mwingine zaidi yako... Napenda zile raha unazonipa, napenda unavyokata, na kunipa taratibu...

mahondaw wangu...
Nikikushika unanitazama unaona aibu... ilaa husije fanya visa mina wivu, na moyo utaniumiza mina wivu, na hofu watakuteka mina wivu, sitaki nile mbichi wao mbivu...
 
Ofcourse Smart911 my king
Usisikilize ya walimwengu
Walimwengu wana hila Smart911 wangu
Hawapendi kuona wawili wakifurahi nafsi zao zinawaumaa

What I can say is..

You are my pride Smart911

Nakupenda sana
Bakinamimi baby
mahondaw wangu...

Najua kama unanipenda sana... Hata mimi nakupenda sana mahondaw wangu...

mahondaw wangu... Mambo mengi tunafanana, unachokipenda hata mimi nakipenda...

Nakupenda mahondaw wangu... Kama asali muda wote natamani nikuonje...
 
Cc.husna muba ameniacha ety kisa nina pesa nyingi so anaogopa labda nina wanawake wengi
 
Mi nasema sikuachiii
Nakaba mpaka penatiiiii
Kwa utamu wa nanasii
Naufyonza mpaka BasiiBasiiii

Wenye kusema waseme wala tusijalii
Kwa hayo yako masebene wala sichezi mbalii...

I love you so much Smart911 wangu
Nasi tupo utukumbuke katika ufalme wako!
 
mahondaw wangu...

Najua kama unanipenda sana... Hata mimi nakupenda sana mahondaw wangu...

mahondaw wangu... Mambo mengi tunafanana, unachokipenda hata mimi nakipenda...

Nakupenda mahondaw wangu... Kama asali muda wote natamani nikuonje...

Kupendana kwa maneno .... kelele nyingiii humu. Tupeni mwaliko wa harusi hata kama ni chini ya mwembe mpate baraka zoteeee... kisha tuwasikie kama mtaendelea na hizi ngonjela humu
 
Back
Top Bottom