Exogenous Factor
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 1,401
- 2,336
"When everything seems to be going against you, remember that the airplane takes off against the wind, not with it ...."
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka 2 Sasa Sina Kazi Wala Kibarua Kila Mchakato Unabuma Daaah Maisha Magumu Jamani, Meseji Ikiingia Kwenye Simu Ujue Ni Kampuni Ya Simu Na Promosheni Zao Hakuna Cha Bebi Wala Honey Wala I Miss U ... JamaniiiiiMkuu dondosha hata kaushuuda kadogo.
Yana mwisho hayoMiaka 2 Sasa Sina Kazi Wala Kibarua Kila Mchakato Unabuma Daaah Maisha Magumu Jamani, Meseji Ikiingia Kwenye Simu Ujue Ni Kampuni Ya Simu Na Promosheni Zao Hakuna Cha Bebi Wala Honey Wala I Miss U ... Jamaniiiii
Dah! Pole sanaMiaka 2 Sasa Sina Kazi Wala Kibarua Kila Mchakato Unabuma Daaah Maisha Magumu Jamani, Meseji Ikiingia Kwenye Simu Ujue Ni Kampuni Ya Simu Na Promosheni Zao Hakuna Cha Bebi Wala Honey Wala I Miss U ... Jamaniiiii
Mkuu nisawa but usiwe na madeni, ukiwa na madeni na hayalipiki hii dunia utaiona chungu mara 200Kwa maoni yangu maisha magumu ni sehemu ya maisha ya kawaida. Watu wengi wanamaisha magumu kuliko maisha mazuri.
Ukijua hivyo hautasikitika na kutisikisa sana Hali ngumu inapokuja.
Wangapi wanaumwa, wako jela, wanauguza, wamefiwa, wanaumwa, hawana kazi, elimu, afya nzuri, pia wote tutakufa. nk
Binadamu wenye maisha mazuri bila matatizo hakuna hata mmoja. Wote lazima tupitie hali ngumu. Makosa ni kufikiria ni kitu cha ajabu, siyo cha kawaida.
Mtazamo wangu hali zote ni sehemu ya maisha. Maisha ni kupambana na Hali zote.
Nakazia,alafu wanaokudai wawe wanakukumbushia kila siku deni lao.Unaweza kupungua kilo zaidi ya 5 kila sikuMkuu nisawa but usiwe na madeni, ukiwa na madeni na hayalipiki hii dunia utaiona chungu mara 200
Fact[emoji123]Kifarijiana ni neno negative mno kimaendeleo, wanafarajiana waliofiwa, kwa maana ya kuwa aliyeondoka hana turning back!
Ila wa Wapambanaji wanatiana Moyo.
Pole sana mkuu,ni changamoto za maisha,one day yes...tupambane mkuu.Nimepiga moyo konde hadi nimechoka, nimepambana hadi najihurumia, nimetiwa moyo na kufarijiwa hadi basi.. ila ugumu wa mambo kama vile ninauchochea,,, kwasasa ninaangalia kitakachotokea tu..
Mungu ninayemuamini ndio ameruhusu haya yatokee na ninajua anao uwezo wa kubadilisha hii hali
Mungu ni mwema,yatakwisha mkuuMiaka 2 Sasa Sina Kazi Wala Kibarua Kila Mchakato Unabuma Daaah Maisha Magumu Jamani, Meseji Ikiingia Kwenye Simu Ujue Ni Kampuni Ya Simu Na Promosheni Zao Hakuna Cha Bebi Wala Honey Wala I Miss U ... Jamaniiiii
Asante sana mkuu, kupambana ni jambo la muhimu ila kama mapambano hayaonyeshi dalili yoyote ya mafanikio basi hata nguvu ya mapambano inapungua.Pole sana mkuu,ni changamoto za maisha,one day yes...tupambane mkuu.
Acha kabisa haya maisha ni hatari sana.Nakazia,alafu wanaokudai wawe wanakukumbushia kila siku deni lao.Unaweza kupungua kilo zaidi ya 5 kila siku
Shida nyingine hiyo miujiza uwe na imani, wakati mwingine nawaza hizi shida zina toka kwa shetani au kwa Mungu?Asante sana mkuu, kupambana ni jambo la muhimu ila kama mapambano hayaonyeshi dalili yoyote ya mafanikio basi hata nguvu ya mapambano inapungua.
Miujiza ya Mungu ndio pekee iliyobaki kuweza kunitoa hapa nilipo..
Nimepiga moyo konde hadi nimechoka, nimepambana hadi najihurumia, nimetiwa moyo na kufarijiwa hadi basi.. ila ugumu wa mambo kama vile ninauchochea,,, kwasasa ninaangalia kitakachotokea tu..
Mungu ninayemuamini ndio ameruhusu haya yatokee na ninajua anao uwezo wa kubadilisha hii hali
Imani inapungua sana wakati wa shida na unafiki unaongezeka, hatupaswi kumuomba Mungu wakati wa shida pekee ila wakati wote.Shida nyingine hiyo miujiza uwe na imani, wakati mwingine nawaza hizi shida zina toka kwa shetani au kwa Mungu?
Mkuu hongera sana umeiva kwenye haya mambo safi sana. Kwahiyo kila kitu ni mpango wa Mungu?Imani inapungua sana wakati wa shida na unafiki unaongezeka, hatupaswi kumuomba Mungu wakati wa shida pekee ila wakati wote.
Hizi shida aidha ziwe zinatoka kwa Shetani au kwa Mungu ila lazima zipate kibali kutoka kwa Mungu, kama hajaamua upitie magumu basi Shetani hana uwezo wa kubadili maamuzi ya Mungu.