Uzi maalumu wa kufarijiana kwa wale wote wanaopita kwenye hali ngumu za kimaisha

Mkuu nisawa but usiwe na madeni, ukiwa na madeni na hayalipiki hii dunia utaiona chungu mara 200

Kitu muhimu Sana, ukiwa na matatizo makubwa fikiria, soma maisha ya watu waliokuwa na matatizo makubwa zaidi yako, na jinsi walivyokabiliana nayo.

Unaweza kujifunza kitu kwa watu Kama Mandela, Dalali Lama, Single mothers, yatima, wafungwa wa maisha nk.
 
Mkuu ni kweli kabisa, lakini wakati upo kwenye shida huwezi kuelewa historia zawengine utaona kama pengine siyo kweli, hakuna kitu kibaya kama kuvunjika moyo.
 
Matatizo ni kama makalio hakuna ambae hana ila yanatofautiana ukubwa tu! Iko hivi siku zote tujifunze kuyapokea yote kwani tabu na raha zipo duniani..muhimu ni kuwa na subira!
 
Ndivyo tunavyoamini hivyo..lakini VIPI WALE WANAO KUFANYIA USHIRIKINA NA VITU VYA KICHAWI usifanikiwe?hao ndy wanaotusumbuwa KTK RIZIKI ZETU za kila siku. ..utakuta mtu alichonacho sasa ni robo tu ya ALICHOANDIKIWA NA MUNGU,,hayo mengine kuna watu WACHAWI NA HATERS wanazuia maendeleo ya mtu
 
So unataka kusema nn?? Ukajigange kujiweka sawa wasikupate? Ukalinde mali zako zisifatwe?? My dear omba sana Mungu akushibishe imani, ijae isiwe haba, zidisha maombi kama n muslim pendelea kuswali na kufanya visomo vya kuomba ulinzi kutoka kwa Mungu
 
asante...barikiwa
 
pole sana mkuu"" utapita tu katika hizi nyakati na bila Shaka utayasahau maumivu na kuvuna faraja ""
 
Miaka 2 Sasa Sina Kazi Wala Kibarua Kila Mchakato Unabuma Daaah Maisha Magumu Jamani, Meseji Ikiingia Kwenye Simu Ujue Ni Kampuni Ya Simu Na Promosheni Zao Hakuna Cha Bebi Wala Honey Wala I Miss U ... Jamaniiiii
pole sana "" kila jambo lipo kwa sabbu maalumu "" hpo upo mahala penye kukupa fursa ya kujifunza ya walimwengu "" ili wakati wako wa ku rise utakapofika "" iwe umeshaweza kutambua Rangi za walimwengu na desturi zao "" yatapita tu
 
Mungu anamipango na wewe "" agano litatimia tu " na bila shaka hutokuja kubaki kama ulivyo
Asante sana mkuu, hata mimi ninaamini ipo siku haya ninayopitia yatakuwa hadithi.
Sitaki kusifu ukubwa wa matatizo niliyonayo ila ninasifu ukubwa na uwezo mkuu wa Mungu anayenipigania siku zote.
 
Asante sana mkuu, hata mimi ninaamini ipo siku haya ninayopitia yatakuwa hadithi.
Sitaki kusifu ukubwa wa matatizo niliyonayo ila ninasifu ukubwa na uwezo mkuu wa Mungu anayenipigania siku zote.
vyema sana ""
 
Huu ni Uzi maalum kwa ajili ya kutoa faraja kwa wote wenye huzuni ya aina yeyote, mfano kuwapa faraja wagonjwa wote mahositalini, kupeana faraja za kimaisha kwa kuyumba kiuchumi, wale wenye vyeti halafu hawana ajira, wenye vyeti feki waliochishwa kazi n.k

Karibuni tupeane faraja
 
kuna kipindi nilipataga misukosuko
nilitamani Dunia ipasuke...ilifikia kipindi nilitamani hata nigongwe na gari au kitu kibaya kinipate ili nife but haikuwa hivyo...
ni vile unapita wakati mgumu hata ndugu/rafiki na mpenz wanakukimbia ni hatari sanaaa
tangu hapo sikutaka tena kuamini/kuwategemea watu......
nilijiapiza na Mungu wangu na kuweka ahadi na Mungu wangu
from now nakula mema ya Nchi japo sijafikia but atlest now...naona mwanga mkubwa wa maisha yangu tofauti na kipindi cha Nyuma...
Kuna wakati now nadhani bado nipo ndotoni coz siamini kama ndiyo Mimi ambaye watu walinicheka na kunidhihaki....
hata walionitenga Leo ndiyo wakwanza kuninyenyekea...
nilichojifunza
wakati mwingine Mungu anaruhusu upitie magumu ili akufikishe kwenye kusuidio na sehemu aliyokuandalia...
lait kama wale niliowategemea wangefanya kama nilivyodhani au lait kama baba asingenitelekeza pengine leo "NISINGEKUWA MTU MAALUMU" katika Dunia yetu. ....

Natamani Kushare Nanyi story abt My life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…