Uzi maalumu wa kufarijiana kwa wale wote wanaopita kwenye hali ngumu za kimaisha

Uzi maalumu wa kufarijiana kwa wale wote wanaopita kwenye hali ngumu za kimaisha

kuna kipindi nilipataga misukosuko
nilitamani Dunia ipasuke...ilifikia kipindi nilitamani hata nigongwe na gari au kitu kibaya kinipate ili nife but haikuwa hivyo...
ni vile unapita wakati mgumu hata ndugu/rafiki na mpenz wanakukimbia ni hatari sanaaa
tangu hapo sikutaka tena kuamini/kuwategemea watu......
nilijiapiza na Mungu wangu na kuweka ahadi na Mungu wangu
from now nakula mema ya Nchi japo sijafikia but atlest now...naona mwanga mkubwa wa maisha yangu tofauti na kipindi cha Nyuma...
Kuna wakati now nadhani bado nipo ndotoni coz siamini kama ndiyo Mimi ambaye watu walinicheka na kunidhihaki....
hata walionitenga Leo ndiyo wakwanza kuninyenyekea...
nilichojifunza
wakati mwingine Mungu anaruhusu upitie magumu ili akufikishe kwenye kusuidio na sehemu aliyokuandalia...
lait kama wale niliowategemea wangefanya kama nilivyodhani au lait kama baba asingenitelekeza pengine leo "NISINGEKUWA MTU MAALUMU" katika Dunia yetu. ....

Natamani Kushare Nanyi story abt My life
Pole Sana mkuu, mshukuru mungu pia kwani Kuna kupindi tunapitia vipindi vigumu ikiwa Kama funzo katika maisha na kukufundisha ni njia gani ufanye ili uweze kufanikiwa mkuu, pole kwa yote yaliyotokea
 
Pole Sana mkuu, mshukuru mungu pia kwani Kuna kupindi tunapitia vipindi vigumu ikiwa Kama funzo katika maisha na kukufundisha ni njia gani ufanye ili uweze kufanikiwa mkuu, pole kwa yote yaliyotokea
Ahsante kiongozi na upo sahihi
Yote huwa yanatupata kwa "Makusudio maalumu"
 
Ingawa changamoto yangu hauja itaja, lakini ngoja nikae tu kwahapa. Maana huu ni wakati ambao ninahitaji faraja sana na kujiweka karibu na Mungu.
Muombe mungu mkuu kwan yeye ndio muweza wa Kila kitu, naami ukimuomba na kuongeza juhudi na maarifa katika ufanyayo utafanikiwa tu mkuu
 
WOTE WENYE MATATIZO YA AINA YOYOTE ILE ANZENI NA MUNGU KWANZA KWANI NDIE MTATUZI WA SHIDA ZA WANADAMU.
GOD IS POWER KWA WALE WAMUAMINIO KTIKA KWELI "KUTOKA ROHONI"
PEKE YETU HATUTAWEZA PENGINE MNAWEZA KUTA MNASHINDANA NA NGUVU ZISIZOONEKANA "SHETANI"
SHETANI DAWA YAKE NI MUNGU TU VINGINEVYO UNA KUA DHAIFU/WEAK UNAKUA POSSESED BY DEMONS/MAPEPO.
WAPO WENGI SANA VIPAWA VYAO VINAMILIKIWA NA WENGINE KISHETANI PASIPO WAO KUJIJUA NDIO MAANA MAFUKARA, MATAHIRA, VILAZA N.K HAWAISHI MTAANI KWA SABABU TALANTA ZAO ZINAMILIKIWA NA SHETANI.
 
Kwa yeyote alopoteza tumaini na anahisi anahitaji faraja na maneno ya kumtia moyo asisite kunitafuta (simaanishi usitafute faraja kutoka kwa Mungu wako kwanza). Nimepitia magumu mengi sana na najua how it feels kuwa peke yako katika nyakati ngumu. Njoo PM kwa ushauri na faraja. NO STRINGS ATTACHED

Hilo neno bolded linanikumbusha mbali sana...

Ila magumu ya muhusiano hapana...
 
Mkuu leta stori utawahamasisha na wengine
kuna kipindi nilipataga misukosuko
nilitamani Dunia ipasuke...ilifikia kipindi nilitamani hata nigongwe na gari au kitu kibaya kinipate ili nife but haikuwa hivyo...
ni vile unapita wakati mgumu hata ndugu/rafiki na mpenz wanakukimbia ni hatari sanaaa
tangu hapo sikutaka tena kuamini/kuwategemea watu......
nilijiapiza na Mungu wangu na kuweka ahadi na Mungu wangu
from now nakula mema ya Nchi japo sijafikia but atlest now...naona mwanga mkubwa wa maisha yangu tofauti na kipindi cha Nyuma...
Kuna wakati now nadhani bado nipo ndotoni coz siamini kama ndiyo Mimi ambaye watu walinicheka na kunidhihaki....
hata walionitenga Leo ndiyo wakwanza kuninyenyekea...
nilichojifunza
wakati mwingine Mungu anaruhusu upitie magumu ili akufikishe kwenye kusuidio na sehemu aliyokuandalia...
lait kama wale niliowategemea wangefanya kama nilivyodhani au
 
Maisha bana pesa hakuna, mpenzi hakuna, familia hakuna, rafiki hakuna, ndugu jamaa ovyo.

Mvurugano kama roast la biriani ila ni kupambana tu.

Kuna kipindi mpaka unaweza sema umekuja kufanya nini kwenye hii dunia, mvurugano tu.

ILA

Marufuku Kukata tamaa.
 
Jamani mi bado naendelea kupitia kipnd kigumu na bdo sijajua hatma yake

In short niko kipindi kigum ki uhalisia
Pole Sana mkuu, muombe Sana mungu atakusadia mkuu, Cha msingi usikate tamaa kwa lolote unalofanya kwani muda mwingine hua tunapitia vipindi vigumu Kama tu njia ya kujifunza na kutafuta njia mbadala ya kutatua matatizo yet, usikate tamaa mkuu pia kukata tamaa ni dhambi
 
Back
Top Bottom