tax compliant
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 1,211
- 1,196
Linakukumbusha wapi mkuu? Sema tu, haidhuru.Hilo neno bolded linanikumbusha mbali sana...
Ila magumu ya muhusiano hapana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Linakukumbusha wapi mkuu? Sema tu, haidhuru.Hilo neno bolded linanikumbusha mbali sana...
Ila magumu ya muhusiano hapana...
mmh!kwa nini?
Mkuu umeteswa vipi? Fafanua tafadhariNa mimi ninayeteswa na mapenzi naombeni mnifariji.
Mtoto wa kishua acha uzushi...Ingawa changamoto yangu hauja itaja, lakini ngoja nikae tu kwahapa. Maana huu ni wakati ambao ninahitaji faraja sana na kujiweka karibu na Mungu.
Mkuu usisite kushare nasi kuna cha kujifunza...kuna kipindi nilipataga misukosuko
nilitamani Dunia ipasuke...ilifikia kipindi nilitamani hata nigongwe na gari au kitu kibaya kinipate ili nife but haikuwa hivyo...
ni vile unapita wakati mgumu hata ndugu/rafiki na mpenz wanakukimbia ni hatari sanaaa
tangu hapo sikutaka tena kuamini/kuwategemea watu......
nilijiapiza na Mungu wangu na kuweka ahadi na Mungu wangu
from now nakula mema ya Nchi japo sijafikia but atlest now...naona mwanga mkubwa wa maisha yangu tofauti na kipindi cha Nyuma...
Kuna wakati now nadhani bado nipo ndotoni coz siamini kama ndiyo Mimi ambaye watu walinicheka na kunidhihaki....
hata walionitenga Leo ndiyo wakwanza kuninyenyekea...
nilichojifunza
wakati mwingine Mungu anaruhusu upitie magumu ili akufikishe kwenye kusuidio na sehemu aliyokuandalia...
lait kama wale niliowategemea wangefanya kama nilivyodhani au lait kama baba asingenitelekeza pengine leo "NISINGEKUWA MTU MAALUMU" katika Dunia yetu. ....
Natamani Kushare Nanyi story abt My life
PooleNa mimi ninayeteswa na mapenzi naombeni mnifariji.
Pole mkuu...amini utapita kwenye hicho kipindi kigumu, it's the matter of time....Jamani mi bado naendelea kupitia kipnd kigumu na bdo sijajua hatma yake
In short niko kipindi kigum ki uhalisia
Hapo mwisho I wish kila mtu apasomeMaisha bana pesa hakuna, mpenzi hakuna, familia hakuna, rafiki hakuna, ndugu jamaa ovyo.
Mvurugano kama roast la biriani ila ni kupambana tu.
Kuna kipindi mpaka unaweza sema umekuja kufanya nini kwenye hii dunia, mvurugano tu.
ILA
Marufuku Kukata tamaa.
Akikutag unitagOk,tag me if you won't mind.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....sijakucheka ila umenichekesha na hiyo sentensiMimi ndio sifai kabisa ...msione
nachangia mada!
Nani.....[emoji15] [emoji15]Nakuona [emoji41]
sawa mzeeAkikutag unitag
Kula pringles kopo moja na azam embe utakuwa sawaNa mimi ninayeteswa na mapenzi naombeni mnifariji.
Asante Babu Okonkwo[emoji23] [emoji23]sawa mzee