Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Mbezi ya Kimara
Aisee nyumba za pale zote za kishua.Jogoo,Mbezi Beach..
Kwa Balozi Mulamula, pembeni..hivi kama unatazama Imtu
Labda nimepanga mazee au Kwa jimama nalelewa au Kwa mjomba... hahahahaAisee nyumba za pale zote za kishua.
Hongera.
[emoji849][emoji849][emoji849]Dodoma
WAzee wa elevateRock City.
Tulia wewe,😂😂😜[emoji849][emoji849][emoji849]
😳😝Nairobi
Kwa Sasa GAMBOSHI[emoji41]Huu uzi ni maalumu kwa kujua wana JF wanatokea wapi. Comment unapotokea sisi majirani tutapita na likes.
Itasaidia pia kupeana michongo ya hapa na pale.
nianze mimi
Arusha- sanawari
vavayo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]