YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
MikocheniHuu uzi ni maalumu kwa kujua wana JF wanatokea wapi. Comment unapotokea sisi majirani tutapita na likes.
Itasaidia pia kupeana michongo ya hapa na pale.
nianze mimi
Arusha- sanawari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MikocheniHuu uzi ni maalumu kwa kujua wana JF wanatokea wapi. Comment unapotokea sisi majirani tutapita na likes.
Itasaidia pia kupeana michongo ya hapa na pale.
nianze mimi
Arusha- sanawari
SafiiiiKwa SASA nimeweka kambi Dodoma Ila nyumbani ni kanda ya cowbell.
Anatokea mathare slum. Ni chokoraa msataafumtaa gani
Utotoni nikielekea ukubwani...Tandahimba ndani ndani huko. Wewe wa wapi...
Bado ujawa mkubwa kwani 😅Utotoni nikielekea ukubwani...
Njoo unikague...Bado ujawa mkubwa kwani 😅
Kwa Mwakasege ni wapi, Mbeya...kumbe kanyaki haka katoto🤣Kwa Mwakasege
Nairobi kubwa kibera , Eastleigh , mathare au kariobangi.Nairobi
Nakuja....Njoo unikague...