Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Naomba msaada mwenye uzoefu wa biashara ya nafaka kupeleka dar naomba muongozo: mtaji ushauri leseni na dar wapi wananunua mchanganuo n.k.

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Atakayepata soko la nguruwe ndo atapiga hela hatari. Nguruwe ni wengi hawana wateja kuna na ugonjwa umezuka.
 
Mchanganuo wa Biashara ya mishkaki ya mia mbili mbili pamoja na ndizi za kukaangaa kwa aliewahi kufanya hii naomba anipe mwongozo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…