Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Kuna hii pasi inaitwa c-tech

Anejua wapi naweza kuzipataa kaa bei jumla

Anipe connection
IMG-20210312-WA0003.jpg
 
Natafuta soko la soya beans. Naombeni msaada ndugu zangu. Mzigo upo wa kutosha.
 
Back
Top Bottom