Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
[emoji2369][emoji2369][emoji2369]Kwa mkoa wa lindi ni biashara gan nzur kwa biashara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2369][emoji2369][emoji2369]Kwa mkoa wa lindi ni biashara gan nzur kwa biashara
We upo wap mbona mzigo Ni hotecake sana huo kwasasaNatafuta soko la soya beans. Naombeni msaada ndugu zangu. Mzigo upo wa kutosha.
Usipompata nenda supermarket yoyote jifanye kama unabidhaa unataka kuwa supplier,hvo basi utapata muda wa kutazama na kuiga mpangilio....Natafuta MTU anayeweza kunipangia/kuweka mpangilio mzuri na unaoeleweka WA bithaa za kwenye min market dukani akiwa Dodoma itapendeza zaidi.
Nitaomba tutafutane DM
DStv 1 Azam tv 1 tv 2Msaada tafadhal, nahitaji kufanya biashara ya kuonyesha mpira! Mwnye uzoefu tafadhal niandae bajet kiasi gani? NB NATAKA KUANZA MWEZ WA 8.
Wow hilo shati la blue bahari sh ngapi? Nikiona mkaka kavaa hivo namuona mtanashati sana😍Karibuni tupendeze kwa bei nafuu
Shirt 17500/pc
Koti 45000/=
Karibuni
View attachment 1825665
View attachment 1825666
17500/= tuWow hilo shati la blue bahari sh ngapi? Nikiona mkaka kavaa hivo namuona mtanashati sana😍
mm natafuta kabati kama izi lkn zile za plastiki kabsaKABATI ZA ZIPU ZA NGUO NA VIATU
Ni imara na zinapendezesha nyumba
Zipo za rangi mbalimbali
Wateja wa dar unaletewa buree
Unafungiwa pia buree
Malipo mpaka upate mzigo wako
Milango 2 tsh 65,000
Milango 3 tsh 75,000
Mawasiliano;
KUPIGA SIMU NA MESEJI 0766617283
WHATSAPP 0678562219
View attachment 1825303
View attachment 1825300
View attachment 1825302
View attachment 1825301
View attachment 1825304View attachment 1825300View attachment 1825301View attachment 1825302View attachment 1825303View attachment 1825304
plastiki hadi nnje yani isiwe covered na fabric au?mm natafuta kabati kama izi lkn zile za plastiki kabsa
Mkui hapo bado hunaandika bei ya screens labda anatakiwa ziwe ngap.. hii biashara unaweza iona simple kumbe ni ghali hivi?Projector 1 Epson nilinunua 840000
Generator elemax nilinunua 600000
Dstv 99000
Azam 145000
Haya maswali yanaharibugi Uzi.stick to the point boss!!
Mkuu nakushauli kma una leseni hiyo ya kuendesha magari makubwa fanya hivi .kuna nchi inaitwa Qatar mwakani kuna kombe la dunia sasa ukipata connection ya kuendesha magari kule utapa pesa sana maana wana lipa vizuri sana kuanzia milion 2 za kitanzania. Fanya mchakato ufike huko.
Natamani sana kuendesha magari makubwa (semitrera) Naomba mwenye connection tafadhari hata kama ni kwa malipo
Natanguliza shukran
Hujaandika duka lipo sehemu gani, Instagram account, Namba ya simu. Mjasiriamali, tubadilike tuwe serious na kazi zetuKaribuni tupendeze kwa bei nafuu
Shirt 17500/pc
Koti 45000/=
Karibuni
View attachment 1825665
View attachment 1825666
Screen sio chin ya mbili inategemea na location. Kuhus ghali ni kwel inabid uwe kam na m 3 hvMkui hapo bado hunaandika bei ya screens labda anatakiwa ziwe ngap.. hii biashara unaweza iona simple kumbe ni ghali hivi?