mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 824
- 650
Nahitaji connection ya ream paper kwa supply wa kariakoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wa bahasha20k?
Fafanua vizuri. Unahitaji ream ama unahitaji wanunuzi wa ream paper?Nahitaji connection ya ream paper kwa supply wa kariakoo
Unatafuta camera Ipi mkuuWauza camera hawapo hum?
Dawa gani unataka?Dawa za nywele za bei ya kiwandan napata wapi? Kama zile tinazonunuaga kariakoo kwenye Maduka. I'm sure wanapaa kwa bei rafiki zaidi
Ushapata mtu wa kufanya display dukani kwako?Natafuta MTU anayeweza kunipangia/kuweka mpangilio mzuri na unaoeleweka WA bithaa za kwenye min market dukani akiwa Dodoma itapendeza zaidi.
Nitaomba tutafutane DM