Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Naam nina connection ya mtu mmoja yy husambaza madawa ya binadamu hasa katika mikoa ya Mara na Mwanza. Ila yy huchukulia kwa Kenya ngoja nitakupatia namba yake uwasiliane nae.
Zote mkuu, unazozijua zinauzwa na maduka ya Duka baridi. Kama una connection niambie then nitakutumia samples ya dawa ninazonunuagaa!
 

Utafiti wako ulifanyia wapi Mkuu..?

Nimefanya tafiti pia, kwa maeneo ya Pwani, Kuku wa kienyeji wanapatikana kwa bei niliyoitaja na kwa sehemu bei ulizotaja. Nikiri hapa, supply is very limited.

Pia, ule utaratibu uliotolewa na Mkulu kuwa ushuru haulipwi kwa mzigo wa chini ya tani 1, haujumuishi kuku?
 
Huku niliko kwa sasa ni 30k
Kilindi nimesikia gunia 20 elfu
Mwaka huu kama umelima mahindi kibiashara utapata taabu sana maana kwa mahindi yaliyovunwa na yatayovunwa June na July gunia litauzwa kwa 10k au chini hahahah yatakuwa Yale ya mbaazi kilo sh100 na hakuna wateja anyway tutalisha mifugo hii ni fursa kwa wafugaji wa kuku,ngombe,mbuz,ngurue kununua mahindi,mtama,ngano nk kwa bei ya kutupa kutengeneza chakula cheap kaz kwetu sasa
 
Kwahy ushauri wako ni upi! !
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu kwa uzi mujarabu kama huu natumai wengi watafaidika kutokana nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…