Vanree
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 222
- 177
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuku ulionao wana wastani kilo ngapi kwa kila kukuMimi nahitaji soko la kuku wa nyama, nipo chuga
bei gani hukonaomba connection ya mfanyabiashara wa mahindi anayepelekaga nje ya nchi. Mimi ni mfanyabiashara mdogo na nitakua namkusanyia mahindi kutoka vijijini ndani ndani huko na kumuuzia kwa bei nafuu....
Nipo singida na mahindi yapo mengi sana kwa bei nafuu
naomba connection ya mfanyabiashara wa mahindi anayepelekaga nje ya nchi. Mimi ni mfanyabiashara mdogo na nitakua namkusanyia mahindi kutoka vijijini ndani ndani huko na kumuuzia kwa bei nafuu....
Nipo singida na mahindi yapo mengi sana kwa bei nafuu
Ya diesel ,yenye uwezo wa nusu tani mpaka tani kwa saa, inakuwa milioni 3. ya mkono laki 4Wakuu mashine ya kupukuchua mahindi bei gani kwa anayefahamu tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida lazima wawe na kilo moja na points kadhaaKuku ulionao wana wastani kilo ngapi kwa kila kuku
Habari za midanatafuta wanunuzi was jumla na rejareja was pilipili(sauce)
ya embe na ya ukwaju
inafaa kwa matumizi ya Nyumbani na wenye biashara ya chakula
zinatumika kurowekea nyama na pia Julia chakula (dipping)
ni kionjo matata sana hasa kwa wauza chips
inapatikana kwa chupa ya Lita moja
nusu Lita na robo Lita.
karibuni sana
shukraniHabari za mida
Taasisi ya *Sekta Binafsi Tanzania (TPSF)* ikishirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Ubalozi wa Tanzania nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ubalozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo nchini Tanzania pamoja na Shirikisho la Wafanyabiashara wa Congo (FEC) wameandaa ziara ya biashara ya mkakati jijini *Lubumbashi* kuanzia tarehe 6-9 Aprili 2020.
Hii ni *fursa* ya kipekee ya utafiti na kufanya biashara kati ya mipaka ya nchi hizi mbili.
Fursa mbalimbali zinapatikana nchini Congo kwenye *sekta zifuatazo*:
Chakula, bidhaa za kilimo, mazao ya biashara, usafirishaji wa watu na bidhaa, madini, maghala, vifaa vya ujenzi na umeme, teknolojia ya habari na mawasiliano, usafiri, pembejeo, mashine, Utalii, bima na huduma za kifedha.
Ili *Kushiriki* tafadhali jisajili kupitia kiunganishi hiki:
Registration Form – Tanzania Business Forums
Tafadhali *sambaza* ujumbe huu kwenye mtandao wako wa kibiashara na magroups.
Kwa *maelezo* ya ziada wasiliana na TPSF piga simu +255710303880 au +255784323068
Tupe neno bila kificho kiongoziAnaehitaji connection ya soko LA dagaa wa Mwanza kuuza jumla karib PM
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupi bei na eneo ambalo ukonatafuta wanunuzi was jumla na rejareja was pilipili(sauce)
ya embe na ya ukwaju
inafaa kwa matumizi ya Nyumbani na wenye biashara ya chakula
zinatumika kurowekea nyama na pia Julia chakula (dipping)
ni kionjo matata sana hasa kwa wauza chips
inapatikana kwa chupa ya Lita moja
nusu Lita na robo Lita.
karibuni sana
Ok, tufanye biashara.
Nahitaj kuku(jogoo&tetea) 50 kwanza kwa TZS 7,500/=@.
nahitaji connection ya kuuza mahindi na maharagwe nchi za jirani wakuu pls mwenye connection na je vibali navipataje wakuu?
Kwa sasa ni 80k
Ila baada ya mwezi mmoja bei itakua below 40k