Podcast
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 767
- 901
ShukraniHuyo ni dalali kama mimi hapa,hauna haja ya kibishana naye.
Madalali tunanunua kuku mikoani ukitaka. tunakuuzia 15,000/= mpaka 20,000/= hizo ndio kazi zetu boss.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShukraniHuyo ni dalali kama mimi hapa,hauna haja ya kibishana naye.
Madalali tunanunua kuku mikoani ukitaka. tunakuuzia 15,000/= mpaka 20,000/= hizo ndio kazi zetu boss.
Kabla sijaja huko
Mimi na mipaina mbao laini hususani nazitoa na nipo njombe Mkuu.
Ngumu nina gravelea ipo arusha sanawari.Tuyajenge hapa hapa wengine waone boss
Sent using Jamii Forums mobile app
tembelea vijiji vya morogoro Kuna kuku wengi tu
Huko chuga sindio kwenye mahoteli mengi ungejaribu kuyatembeleaMimi nahitaji soko la kuku wa nyama, nipo chuga
Wana watu wao spesho wa odaHuko chuga sindio kwenye mahoteli mengi ungejaribu kuyatembelea
Unaewezo wa kuzalisha kuku wangapi kwa wiki nikutafutie namba ya madalali wa kuku dar uongee naoWana watu wao spesho wa oda
Mkuu nimekuchek pm naona kimyaDagaa ni wa mchaga ila kama unataka tofauti na hao itawezekana pia na kiasi utachohitaji na location yako
Njoo mlimba Kuna Kijiji kinaitwa idui Kuna kuku Hadi wa elfu tano
Usafiri Kuna treni ya tazara