Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Kwa aliena connection ya dagaa wa kuchemsha wasio na mchanga anielekeze soko lipo wapi la kuuza hivi vitu.
 
2,800 kwa kilogram. Maharage yaliyopo kwa sasa ni kwa ajili ya mbegu. Kwa sasa wakulima wanaandaa mashamba yao kwa ajili ya kilimo cha Maharage. Kufikia mwezi wa saba maharage mapya yatakuwa tayari hivyo bei itakuwa rafiki.
Niko kwa mda karatu wametoa maharage awamu ya kwanza February nimepata tetesi bei ni kama 30000 debe it means 180k gunia
 
Back
Top Bottom